Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mechi ya final ya Azam FA Bakari Mwamnyeto alikuwa uchochoro wa wazi kwa Wana Tanga coastal Union. Kulikuwa na mpango Mwamnyeto acheze chini ya kiwango kwa kupewa kadi ya njano mapema.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam, leo Julai 9, 2022 imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji Habibu Kyombo kwa mkataba wa miaka miwili. Nyota huyu...
9 Reactions
88 Replies
6K Views
Tujadiliane. Kumezuka hoja kuwa Yanga wananyonywa kimapato kwa kupata Tsh 1,300 @ jezi katika mkataba wao wa jezi za msimu huu. Hoja hii haijafafanua chochote juu ya gharama za utengenezaji na...
0 Reactions
39 Replies
2K Views
Sasa Habib Kiyombo ana tofauti gani ya Uwezo mdogo kama alionao Yusuf Mhilu? Nani Kawarogeni mpaka leo hii Simba SC ina 'Scouting Team' ya hovyo hivi? Hivi kwanini Viongozi wa Simba SC mnapenda...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kusema kweli kwa sasa timu haina washauri ma genius wa mpira. Ni naona watu hawana mwelekeo,wanaenda Nigeria kusajili wakati si rahisi kupata mchezaji wa viwango vya juu kwa sasa kama huna hela...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiungo wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 30, timu yake ya mwisho ikiwa ni Aarhus ya Denmark. Wilshere ambaye alikuwa akiandamwa na...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa namna ya perfomance yakè uwanjani, ubora na uwezo aliouonyesha katika kuzifumania nyavu....kwa hamasa alioijenga katika jamii ya wapenzi wa kandanda...kwa jinsi alivyo trend Mitaani... Nyumba...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba wamechoka kwa kweli, yaani mbwembwe na tambo zote za jana kwamba leo wanasimamisha bara kwa kutangaza usajili wao mpya kumbe ndo Huyu Habib Kyombo!!!
4 Reactions
10 Replies
927 Views
Huyu mwanamama ni shabiki mkubwa sana wa Yanga SC. Hata atakapo shindwa uchaguzi bado ataendelea kuwepo kwa ajili ya klabu. Katika mkakati wake wa namna ya kufanya Kampeni aliamua kutumia...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Huu sasa ni mwaka wa 15 hii Mbinu inatumiwa na Waandishi wa Habari za Michezo nchini na Mawakala wa Wachezaji wao na wakati mwingine Wote kwa pamoja hushirikiana ili kufikia Lengo Mama. Ni kwamba...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Kila Mwanamichezo nchini jicho lake lipo katika Uchaguzi huu,,hata wale wa upande wa pili, Agenda yao Kwa sasa ni uchaguzi wa Mabingwa wa Taifa. Kinachofurahisha hadi Wanaharakati wapinga kila...
2 Reactions
5 Replies
801 Views
Sijui kama ni mimi tu naliona hili au vipi. Kitendo cha Messi kuondoka katika Ligi ya Uhispania kulikotokana na Klabu kubanwa sana na sheria yao La liga ya matumizi ya pesa ligi ya nchi hiyo na...
3 Reactions
15 Replies
855 Views
Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nikisema hujui Kufikiri ( Juha ) pamoja na huyo aliyekusindikiza kwa Rais wa TFF Wallace Karia Jana unakasirika / mnakasirika. Nakufundisha kwakuwa huna Akili na pia ndiyo tatizo la wana Yanga SC...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yanick Bangala kiungo fundi wa Yanga usiku huu ametangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara 2021/2022 Kwa kutwaa tuzo hiyo Bangala amewashinda mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Muda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam Wana JF, Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu...
0 Reactions
73 Replies
3K Views
Back
Top Bottom