Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Giza limekuwa jeusi tiiii... Huenda msimu ujao ukawa mgumu zaidi kwa simba kiasi cha kutokuwepo hata top 10 😂😂 Msimu ujao ninachoona historia huenda ikajirudia kwa Simba kurudia lile tukio la...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Bila kupoteza muda nijikite kwenye mada tajwa. Mpaka sasa simba imeshatangaza kukamilisha usajili wa wachezaji 2 Moses Phiri (Zanaco) na Habibu kyombo (Mbeya kwanza) Yanga mpaka sasa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Jana uongozi wa Yanga wamemtambulisha mchezaji aliwahi kuichezea newcastle united Gael Birigimana. Tangu atambulishwe kijana huyu kuna maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa ikiwemo Takwimu zake...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Eti amekataa ofa ulaya kwa vile ameridhika na plans za Rais wa Yanga, jamani. Hivi unaweza kukataa ofa ulaya kweli, kwahiyo unatuona wote wajinga au utakuwa ulifundishwa kuyasema hayo maneno...
15 Reactions
60 Replies
3K Views
Hivi najiuliza kwanini ballon d'or au mpira wa dhahabu kutoka africa wanachukuwa wachezaji kutoka Ulaya. Mimi nafikiri hizi tunzo zao wawape wachezaji wa ndani tu wanao cheza mpira ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Ndiyo George Mpole kamaliza ligi na magoli 17 kwenye ligi yetu madafu wakati Sadio Mane kaishia goli 16 na lukaku hata magoli kumi hakufikisha EPL Imeibuka tabia isiyo ya kiungwana ya...
0 Reactions
9 Replies
938 Views
Bondia Tyson Fury amesema kuwa yupo tayari kutoka kwenye kustaafu na kurejea ulingoni kupigana na Anthony Joshua bila malipo kwenye Uwanja wa Wembley, England. Fury, 33, alishinda pambano lake...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nasri Khalfan: Mwamnyeto alistahili tuzo: "Binafsi Bakari Mwamnyeto alistahili tuzo ya beki bora wa msimu, vitu vingi kitakwimu kamzidi Inonga. Wote Mwamnyeto na Inonga wamecheza michezo (27)"...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Gael Bigirimana ni alikuwa Midfielder wa Glentoran na Midfielder wa Timu ya Taifa ya Burundi. Pia amewahi kuchezea EPL na Newcastle. Hii ni Surprise tu usajili mkubwa unakuja kwa Wananchi
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Kitaifa -Yassin mustapha [emoji1666] -Deus kaseke[emoji1666] -Paulo Godfrey [emoji1666] -Balama mapinduzi [emoji1666] -Ramadhani kabwili[emoji1666] -Abdallah Shaibu[emoji1666]...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno. Inaelezwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson. Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na...
16 Reactions
53 Replies
4K Views
[emoji626] Records [emoji736]— Most UCL titles(club)- Real Madrid (14) [emoji736]— Most UCL titles(player)- Paco Gento (6) [emoji736]— Most trophies[emoji471](club)- Al Ahly (121) [emoji736]— Most...
1 Reactions
6 Replies
675 Views
Bado sijaelewa sababu hasa za Habibu Kyombo kusajiliwa na Simba , timu mbili alizochezea zimeshuka daraja , sasa labda Timu yetu ya Simba itufichulie kama inamlipa fadhila baada ya kushiriki...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Sureboy amesajiliwa Yanga katika dirisha dogo kutoka azam ambako hakuanza msimu vizuri sana mbele ya viungo wa Azam Keneth Muguna, Mudathir na wengine. Akaenda Yanga ambako tayari tayari Aucho...
1 Reactions
10 Replies
557 Views
Soka la Bongo bwana, eti mchezaji katambulishwa kwenye mkutano wa uchaguzi, tena tunaambiwa alicheza Newcastle, mbona Saido Ntibazonkiza alicheza Ulaya, kipi cha maana alichofanya, tuache sanaa...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Mimi ni shabiki wa damu wa Dar Es Salaam Young Africans lakini hiki kilicho tokea kwa kijana mwenzetu Habib Kiombo kimenigusa sana. Habib ame twezwa. Anacho fanyiwa Habib ni public humiliation...
19 Reactions
58 Replies
4K Views
Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22. Mosse Phiri 13 goal Habibu Kyombo 6 goal Young Africa. Kambole 0 goal. Bernard Morson 3 goal Gael Birigmana 0 goal...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Mfumo wetu wa ligi utakuwa kama ifuatavyo 1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano 2. Kila kundi litatoa wachezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom