Kuna cheap propaganda zinaendelea kutoka kwa wana Simba ila sio kwa Yanga hii,Yanga hakuna gumu hatulijui hakuna gumu hatujalipitia sijui waje ni mishe gani ndio tuwaelewe.
Nakumbuka kipindi cha...
Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana...
Yanga msimu huu mpaka mwisho wa msimu
Form
WWWDWWWDWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWWW
Goal Difference
103
Points
112 [emoji471]
Top Scorers
Mayele 61[emoji460]
Feisal 46
Saido 43
Moloko 21
Chico 20...
UNATAKA nikupe maajabu mengine ya Fabrizio Romano? Hakuna maajabu sana. Simu yake inaweza kuwa na namba 2,000 za watu mbalimbali duniani. Lakini kuna namba ‘ameisevu’ kwa jina la Jorge Mendes...
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,
Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje...
Yaani Klabu kama Berkane FC wamtake na Wewe na Vipesa vyako vya Dhuluma na Ukwepaji Kodi wa Ofisi yako ya Salamander Posta ndiyo umpate?
Jiandae Kuumbuka tu Kudadadeki!!!!
Yes twende na Caamil/Hersi Said huyu jamaa typical ni MwanaYanga kindakindaki uzuri wa jamaa hana longolongo akisema amesema inaonekana mwamba hana tamaa ya fedha kama wale wengine jamaa ana...
Umeona wapi Mgombea wa Urais wa Vilabu vya Michezo ( siyo Siasa ) anaenda kuomba Kura halafu anaambatana na Mgombea Nafasi ya Umakamu na bila haya ( aibu ) akijua ni Kinyume na Katiba ya Yanga SC...
Tukisema tunaonekana wabaya au tuna chuki, mgombea ameenda kuomba kura akiwa na kombe la ubingwa.
Kwahiyo Klabu imetoa authorization kwamba huyu ndiyo Rais na sio mgombea.
Kama hivyo ndivyo...
Simba haionyeshi ukomavu kwenye soka hata baada ya kufikisha miaka zaidi ya 80 tangu kuanzishwa kwake.
Kila mtu waliwasikia viongozi wa Simba wakimuaga na kumtakia kheri Morrison huko aendako...
Barbra Banda ameondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) baada ya kufeli vipimo vya “kustahiki jinsia” kutokana na kiwango chake cha homoni za testosteroni kuwa...
Nisiwachoshe wa jamvi humu, kama kichwa kinavojieleza Simba tunapigwa na kanjbhai.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa...
Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau,
Sana sana Manara ataambiwa alipie...
Watu wa Soka,
Taarifa iwafikie kuwa Mshambuliaji wetu Habib Haji Kyombo yuko huru kujiunga na timu yoyote baada ya kuamua kuvunja mkataba na timu yetu.
Kila kitu kimeenda sawa na kupitia yeye...
Sio maneno yangu bali ni CAAMIL8 mwenyewe.
“Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza...
Babu yang aliwah nambia mjukuu wangu ikitokea ghafla umekutana na Simba polini usikimbie wew mtazame machoni tu .ukimtazama mda mrefu machoni simba anatabia ya kuona aibu. hivyo ni rahisi kukuacha...
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.
Na habari zao ni za uhakika.
Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.