Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano...
1 Reactions
11 Replies
681 Views
SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Al ahly SC ni club pendwa barani afrika, na hata nje ya Afrika, ni klabu inayoongoza kuwa na many fans nchini Misry na hata all afrikans kwa ujumla, ikifuatiwa na Zamalek kisha Raja Casablanca...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Orodha ya majina ya usajiri wa wachezaji msimu 22/23 epl Man city Erling haaland(Borussia Dortmund) Stefan Ortega (arminia bielefield) Kelvin Phillips (Leeds United ) Arsenal Marquinhos(sao...
3 Reactions
0 Replies
551 Views
Imeripotiwa kuwa Cristiano Ronaldo, 37, anamshawishi Kocha Diego Simeone ili amsajili kwa ajili ya kuichezea Atletico Madrid msimu ujao. Ronaldo anataka kuondoka Manchester United ilia pate...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba SC, leo Julai 17, 2022 imecheza mchezo wake wa kwanza wa Kimataifa wa kirafiki (International Friendly Match) dhidi ya Ismailia SC ambayo inashiriki Ligi Kuu...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure...
5 Reactions
5 Replies
728 Views
Watu wa Soka, Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum. Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC. Beki wa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT.. Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya...
7 Reactions
92 Replies
7K Views
Kulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa. Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa...
32 Reactions
74 Replies
5K Views
Ila kinachonishangaza nikumuona kagere na mugulu natamani mmoja abaki mwengine aende ila wote wapo labda kocha anaitaji kuwaona kabla haja fanya maamuzi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ile klabu bora Tanzania na afrika mashariki na inayoogopeka Afrika nzima the dar young africans bado haijalipa pesa ya usajili wa kipa mshery toka mtibwa Klabu hiyo inayoendeshwa kisasa kabisa...
0 Reactions
14 Replies
840 Views
Wakuu habari.. Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Lile kanjanja lialia shabiki la kutupwa la utopwinyo fc lililokuwa ITV Hemed kivuyo last year lilitoa onyo kuhusu ALHAJI ALBINO na alichosisitiza kwamba popote hyo jamaa alipo basi matatizo yake...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili...
2 Reactions
9 Replies
999 Views
Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli Hiyo harusi nitashangaa kama hawatachangia atleast millions 50 he...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mabingwa wa mchongo, baada ya kukosa nauli na pesa ya kambi huko Turkey, Walirudi kwa mdhamini wao sportpesa ili waone namna kama wangeweza kupata pesa ya kambi lakini sportpesa waligoma kwamba...
5 Reactions
9 Replies
776 Views
Wiki hii nilibahatika kusikiliza kipindi Cha michezo Cha asubuhi Hawa jamaa wanatisha kwa matangazo ya biashara N kweli matangazo yanalipa Kodi na mishahara lakn yasichukue nusu ya kipindi...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom