Mayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea...
Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno.
Wengi tunafahamu Karia ni...
Habari za weekend wadau,
Weekend inaisha vizuri huku mashabiki wa Yanga wakiwa na nyuso za furaha na tabasamu baada ya jana kupata ushindi katika final ya AZAM SPORTS FEDERATION dhidi ya coastal...
Kama nilivyo waeleza hapo awali.
Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.
Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu...
Nimepata taarifa za kuhuzunisha juu ya kufariki kwa mshambuliaji hatari wa zamani wa Simba John Makelele Zig Zag pale Muhimbili juzi jioni.Kwa wale mliozaliwa miaka ya 2000, ni Makelele ndio...
Kama nilivyo waeleza hapo awali.
Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.
Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu...
Kuna baadhi ya Wanasoka wamesikitishwa na kukosekana kwa jina la Top Score wa NBC George Mpole kwenye tuzo za Ligi Kuu ya NBC wakidai ni kukosekana kwa uzalendo kwa wachezaji wa ndani...
Watu wa Soka,
Tunaendelea na taarifa kuhusu usajili tulioufanya na maboresho yanayoendelea kwenye benchi la ufundi na kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu.
Baada ya mshambuliaji Habib...
Hizo Simu ambazo kila mara unapokea pokea tu kuwa nazo makini na Kesho chezesha kwa Haki sasa haribu ukione. Wenye Akili na Mapenzi na Mkoa wa Tanga tunajua kuwa Coastal Union FC ya Kesho itakuwa...
Alisifika duniani kote miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni
Swali?
Alikuwa nafasi gani uwanja?
Jina lake halisi ni nani?
Ni raia wa wapi?
Na unamkumbuka kwa lipi?
Huko mtaani kwenu mlikuwa...
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa.
Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
Hitimisho kwa michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa mchezo wa fainali kupigwa leo Julai 2, 2022 kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, ambapo Mabingwa wa Nchi kutoka...
Cristiano Ronaldo ameomba kuondoka ndani ya Manchester United ikiwa ni msimu mmoja tu tangu arejee kikosini hapo, ambapo inadaiwa lengo lake ni kuendelea kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo...
Haya mambo ya watu kuheshimiana na kupendana hivi huwezi kuyakuta kwa makolo, manara wakati anayapigania makolo na kupiga marufuku washabiki wa yanga kuingia uwanjani mechi ya CAF Barbra alitoa...
Hii Tweet jamaa iliipost baada ya goal la 3 la Coast Union
Je ALIJUAJE au ni mwanakamati wa Yanga?
Au ana mapepo?
Au ndo amekwiva Sana kwenye uchambuzi?
Njoo utuambie mwana Jamii
Nilifatilia kwa umakini sana uchezaji wa Mayele. Kila baada ya kufunga goli mara kadhaa alijivunja ili kumpa nafasi mkongo mwenzaje Makambo acheze.
Kuna mechi nyingi tu angeweza kufunga goli...
YA CRISTIANO RONALDO NA MANCHESTER UNITED,NA UFUMBUZI KATIKA FUMBO LILILO GUMU.[emoji3576]
kalamu ya Nasri Kulemba [emoji3578]
Kile alichosema Cristiano Ronaldo dhidi ya waajiliwa wake...