Kama kwel wanataka kupambana kimataifa na kufika mbali bas wafanye usajir wa beki wa kati wa maana
Huyu ndugu mwamnyeto mechi ngumu na zenye maamuz haziwez abak kuwa.wa nyumbani tu
N ushauri tu...
Kama ulidhani Simba ni paka basi andika umeumia, Simba imefanikiwa kumbakisha Morrison ambaye alikuwa tayari amesainishwa mkataba Leo na yanga, kikao kilichofanyika usiku wa Leo na kumalizika...
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.
Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa...
Niwape pongezi wanajangwani.
Ila kwa jicho langu binafsi la tatu hii timu sio bora kivile.
Kwa mfano ikienda kushiriki LigiKUU nchini Uingereza almaarufu kama English Premier League, basi kwa...
Huyu CEO wetu ambaye hajui mgawanyo wa madaraka kila kitu anataka afanye yeye siku ikitokea tukabeba ubingwa akiwa bado CEO basi nimekaa pale mje mniite mbwa
Mpira wa Bongo hauchezwi uwanjani...
Bodi ya ligi, sikieni kilio cha watanzania, kumweka Bangala, Inonga na Mayele kuwania uchezaji bora ni kukosa weledi, mnaonekana nyie sio watu wa mpira, mpira wa miguu na hata ngumi ni mchezo wa...
Kama nilivyo waeleza hapo awali.
Ni aidha aondoke Barbara Gonzalenz au Bernard Morrison. Hawa mafahali wawili wameshindwa ishi zizi moja.
Kaeni tayari Bernard ataendelea kucheza LIGIKUU Msimu...
Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya...
Nimekuwa mdau wa Vitasa LIVE baada ya Azam TV kuonyesha mchezo huo ubabaishaji umekuwa mkubwa, mabondia wanaoletwa ni wabovu na majaji wamekuwa wakipendelea mabondia wetu wanapopigwa.
Ushauri...
Mods mpo wapi..
_Timu haina mfungaji bora
_Timu haijachukua ubingwa
_Timu haina kocha wa kueleweka
_Timu haina si ii o
_Timu imetuingiza hasara kucheza mechi za nyingi bila faida..tanesco...
Nimesikia interview ya Morrison nimesikitishwa sana hasa baada ya kusikia kuwa huenda huyu mwanamke ana chuki naye.
Lazima ifike mahali tuone hatari ya kiongozi kuleta chuki za kike.
Kama umewahi...
Wengi tumekuwa tukishangilia Fiston Mayele. Pale anapofunga tumekuwa wepesi kuiga namna yake ya kipekee ya ushanhiliaji. Hata wale wa upande wa pili nasikia walikuwa wakitetema kisiri huko...
Kuanzia sasa nimeshastaafu rasmi Kuzishangilia Klabu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwani naona zinaiumiza tu Moyo na Kunikera zaidi kwani hazichezi vile nitakavyo hivyo sasa natangaza rasmi...
Patashika ya michuano ya Azam Sports Federation Cup hatua ya Nusu Fainali kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC, inatarajiwa kupigwa Jumamosi ya Mei 28, 2022 majira ya saa 9:30 Alasiri, kwenye Dimba...
Tuliposema simba pananuka umaskini muwe mnaelewa.
Yule striker hatari kutoka vipers fc Cesar manzoki ambaye simba walikuwa wanamfukuzia ameamua kuwapiga chini na kurudi uganda ..
Taarifa zinadai...
Kuna kauli aliitoa Haji kuwa pale yanga wenye akili ni wawili tu,na akawaorodhesha
1. Jakaya Kikwete.
2.Sunday Manara(baba yake haji)
Sasa fikiria kipindi waTANZANIA wanampa ng'ombe ndugu...
Mambo yanazidi kumuendea kombo bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuporomka kwa mara nyingine kwenye ubora.
Wiki iliyopita bondia huyo namba moja nchini aliporomoka kwa nafasi 16, kutoka ya 17 hadi...
Tukielekea pambano la mwisho kabisa leo kitakachofuatavhapa ni pilika pilika za kusaini wachezaji wapya kwa msimu ujao 2022/2023
Mbali na azam waliotangaza kutwaa wachezaji wawili wa Ivory coast...
Kwa mujibu wa vyanzo , Mwana habari Nuhu Adam amevujisha habari ya Mchezaji Fiston Mayele kusaini kandarasi mpya na club ya Kaizer Chief ya S.A.
===
Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram...