Bodi ya Ligi mnatusikitisha sana, mnatufanya tuwe na wasiwasi sana na uwezo wenu, yaani Bangala awanie mchezaji bora halafu F
George Mpole aachwe? Kwann mmetudharau sana watanzania kiasi hiki...
CEO Barbara Gonzalez Siku zingine uache kuwa Mbishi hasa pale ukiwa unashauriwa kuwa pamoja na kwamba Wewe ndiyo kila Kitu kwa upande wa Malipo na Operations za Klabu ila ni lazima utambue kuwa...
Klabu ya Simba yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi Jijini Dar es salaam, imeahirisha taarifa ambayo iliyokuwa itoke saa 2: 30 usiku kuhusu Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo.
"Taarifa ya Mtendaji Mkuu...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Murtaza Magungu leo Julai 1, 2022 amesema kuwa CEO Barbara Gonzalez anatosha kabisa kuwa kiongozi wa juu katika Klabu hii kubwa hapa nchini Tanzania.
Mangungu amesema...
Kwa wale mlioanza kuingia kwenye wendawazimu wa mpira Leo huku mapovu yakiwatoka wenzenu wakiweka mada humu nawakumbusha Coastal Union ilikuwa moja ya timu hatari kabisa hapa bongo, Leo mnaotukana...
Ni aibu kwa wachambuzi wetu kusifu eti kwamba waamuzi mwaka huu wame improve.
Waamuzi wamekuwa wakifanya yale yale yaliyoganyika mwaka jana. Tofauti kubwa ni kuwa, walalamishi wengi walikuwa...
Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli.
Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile...
Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana.
Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana...
Zimebaki wiki mbili kabla ya pre season ya Man Utd ianze mwishoni mwa mwezi huu lakini mpaka leo hakuna usajili wowote uliofanyika.
Mashabiki wa Man Utd wana matumaini makubwa sana Kocha mpya wa...
Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.
Kauli hiyo ilikuwa inanipa wasiwasi sana kuiamini na...
Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.
Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo...
Pamoja na Yanga kutwaa ubingwa, walionja machungu ya maamuzi ya dhurma kwenye mechi za Mbeya city , Tanzania prisons, Geita na Coastal union (japo walishinda mechi za Geita na Coastal). Naomba...
Kassim Dewji, mmoja wa manazi wa Simba Sports club ana historia kubwa ndani ya timu hiyo, huwezi kuiongelea Simba ukaacha kumtaja mnyama huyo, wale wanaoshabikia Simba miaka hii ya 2015 hawamjui...
Arsenal inafanya mazungumzo na Jack Wilshere (30) ili kumpa nafasi ya kuwa kocha wa timu yao ya vijana Chini ya Miaka 23 na 18
Waliokuwa makocha katika timu hizo, Bosses Kevin Betsy na Dan...
CEO anasema Morrison ameomba mwenyewe aende nyumbani kwao akamalize matatizo ya nyumbani kwao lakini Morrison anasema hakuwa na matatizo ila alilazimishwa aondoke na CEO.
Swali ni kama Morriso...
Clean sheet inahesabika pale unapotoka na ushindi bila kuruhusu goli
takwimu zinadai kuwa makipa wa Yanga Diarra na Mshery wana Clean sheet 15 na 12
jumla unapata clean sheet 27
hata hivyo Yanga...
Mmiliki wa timu ya Azam FC, Yusuf Bakhresa sasa ametangaza vita ya usajili kwa msimu ujao akiingia mwenyewe vitani kusaka wachezaji wa kimataifa na ligi za ndani msimu ujao 2022/23 na tayari...