George upo bawna mdogo!
Kwa sasa Simba na Yanga sio vilabu vya kujiunga navyo ukiwa tayari umukata kuchezea timu ya taifa.
Salamba Adam kamaliza kipaji chake cha Goal getter baada ya kujiunga...
Ukimsikiliza Bernard Morrison unaona kabisa Simba kuna kitu chini ya kapeti kinaendelea ndio maana bwalya kauzwa. Me nafikiri kama mchezaj mmeshindwana mkataba muachane kiroho safi. Kama ni kweli...
NGUMU KUMEZA [emoji434]
Mashabiki wa Simba SC na viongozi wanahaki ya kumshangilia George Mpole kama achievement kwao kutokana na sababu kadhaa.
[emoji419] Msimu huu klabu ya Simba haina...
Mwanangu George Mpole hongera sana kwa kuonyesha juhudi uwanjani katikati ya ligi iliyojaa wageni wengi, juhudi zako zinatamanisha wapenda soka wote duniani. Lakini lakini lakini bado unahitaji...
Mtunisia kasema anahitaji miezi 2 hadi 3 ili team ipate muunganiko, vilevile kasema mechi ya kesho ni ngumu hawezi kuahidi ushindi sababu yeye siyo mtabiri
Kocha mkuu kuanzia tarehe 27 ni...
Nimeangalia Fainali Kombe la Dunia ya Mwaka 1990 iliyofanyika Ujerumani, kwa kweli naona Wajerumani walibebwa na refa, kadi 2 za nyekundu na Maradona kupewa kadi ya njano, ile penati duh
Wanajulikana kuwa ni watalaamu wa kusakata Kabumbu Nchini Tanzania lililothibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF, Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, leo Juni 29, 2022 yupo ugenini kwenye...
Kwesi Appiah ni....
1. Mwafrika Mwenzetu
2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni )
3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC
4...
Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi...
Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo...
Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele.
Na ndiyo kisa cha TFF kutengeneza kombe...
Nimekuwa nikifuatilia namna wamuzi wa Ligi kuu namna wanavyoshindwa kabisa kumlinda Fiston MAYELE.
Fiston hapaswi kuchezewa rafu za kipuuzi puuzi. Inapaswa hata akiguswa kwa nguvu kidogo refa...
Mara baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabo 3-0 ambao wameupata dhidi ya Kagera Sugar, straika wa Yanga, Fiston Mayele amezungumza kwa ufupi kuhusu ushindi huo, mbio za ubingwa na...
Kila ukionekana unamshabikia Fiston kwenye mbio za kiatu unaambiwa wewe huyo Fiston si mzawa, sie tunataka Mpole achukue.
Kaugonjwa hako kamekwenda hadi kwa waamuzi ambao mara kibao wamekua...
Nimepata tetesi kwamba kombe letu mpya ni la plasti na limegharimu TFF kiasi cha Tsh 200,000.
Kwa kuwa nahisi harufu ya ufisadi-kwani kwa makisio ya haraka kombo hilo halizidi Tsh 20,000/= pamoja...
Vijana wetu wanajitolea kwenda kwao kupigania uhai na taifa lao huku yeye akitetema huku Tanzania, hili haliwezekani, aende kwao akateteme huko, hongera mheshimiwa Mnyeti kwa uzalendo wako
Mimi bado naamini kiungo Frank Domayo bado ni fundi hasa wa mpira hasa anapocheza kiungo wa chini, Domayo ambaye alipatwa na majeraha sana kiasi kwamba Azam walimpeleka Afrika Kusini kwa matibabu...
Srinagar
Mwanamke nyota wa Kriketi kutoka Jammiu na Kashmir Jasia Akhtar, anaenda kuchezea Klabu ya Mohammedan Sporting katika Ligi ya Kriketi ya Wanawake ya Duniani daraja la kwanza ya Dhaka...
Wana msimbazi bila shaka tumeona pira biriani likisakatwa leo ndani ya dimba la Mkapa. Tumeona bonge la performance kutoka kwa wachezaji wa Simba leo na wamejituma kwa hali ya juu.
Hivyo haina...