Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Prof Nabi amenishangaza sana leo. Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022. Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada...
8 Reactions
72 Replies
3K Views
TYCOON BUSINESS 2022 Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwishoni mwa mwaka huu mashabiki wa soka watapata nafasi nyingine kushuhudia fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Qatar. Qatar ni moja ya nchi inayopingwa vikali na mashabiki wengi wa...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Aliekuwa kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria wa club kubwa ya Al Ahyl ya Misri, Pitso Mosimane ameukubali mziki wa mabingwa wa kihistoria Tanzania YANGA kwa namna walivyofanya gwaride la...
19 Reactions
79 Replies
4K Views
Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu. Hebu chekini hapa. Hakika hii ndio klabu kubwa...
2 Reactions
13 Replies
861 Views
1. Djigui Diara ( Yanga SC ) 2. Shaaban Djuma ( Yanga SC ) 3. Mohammed Hussein Tshabalala ( Simba SC ) 4. Dickson Job ( yanga SC ) 5. Henock Inonga ( Simba SC ) 6. Yannick GENTAMYCINE Bangala (...
11 Reactions
18 Replies
2K Views
Hadi Simba inamtangaza kocha wake Leo hii, hakuna hata mwandishi mmoja wa habari aliyepatia, hii inaonyesha Simba wanaficha taarifa zao, lakini pili waaandishi wetu hawana uwezo wa kuandika...
4 Reactions
5 Replies
711 Views
Andiko la Bernard Morrison: "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za simba kutoka...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top...
3 Reactions
15 Replies
742 Views
Najua Mo Dewji, CEO Barbara, Mshauri Magori na Msemaji Ahmed mnanisoma mno tu JF huu ndiyo Ujumbe Kuntu Kwenu.
1 Reactions
14 Replies
970 Views
Hasira zangu zinaenda kwa Watu hawa Wafuatao.... 1. Mwenyekiti Mangungu 2. CEO Barbara 3. Kocha Msaidizi Matola 4. Meneja Rweymamu 5. Mratibu Abbas 6. Kocha Mkuu Pablo Kuna Watu Wanne tajwa hapa...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
Kocha wa Makipa, Tyron Damons atakuwa sio sehemu ya benchi letu la ufundi baada ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu. Tunamtakia kila la heri huko aendako. Chanzo: Simba Sports Club Akina GENTAMYCINE...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna Timu moja ya Wasomi na Wastaarbu Tanzania nzima ilipongezwa na Rais wa FIFA Giani Infantino kwa Kuchukua Kwake Ubingwa mwaka jana na hata kufikia Robo Fainali ya CAFCL lakini wala Mashabiki...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa kweli ni kioja cha mwaka, Yanga na Simba zinajulikana makao makuu yao ni wap, Yanga wapo pale Twiga na Jangwani na Simba wako pale kariakoo Msimbazi, wote wawili wako Kariakoo. Jana, Yanga...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukifuatilia wapinzani wa Jadi wa Nchi zingine utaona kwamba Upinzani wa Yanga na Simba una Uswahili ndani yake na wala sio ushabiki proffesional. Mfano Chukulia Vilabu pinzania vya Al Ahly and...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu. Chanzo: Darmpya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hebu tupange first eleven ya watukutu,vurugu ,ambao hawakosi red card na kucheza rafu,mi naanza na:- SERGIO RAMOS PEPE LUIS SUAREZ DIEGO COSTA IBRAHIMOVIC Bado kipa mtukutu hajapatikana.
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…