Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili. Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa...
4 Reactions
9 Replies
895 Views
Kuna taarifa zinazomuhusu kiungo wa Yanga Feisal Salum kuhitajika na vilabu viwili nje ya Tanzania. Kwenye email rasmi ya Yanga na CEO kuna ofa mbili za Feisal Salum, kutoka klabu ya Ligi kuu...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Salaam Wana JF Baada ya ligue Bora duniani LaLiga kuwapongeza mabingwa wa kihistoria wa NBC premier.......haya ni baadhi ya Mambo niliyaona Kama mchambuzi mahiri wa mpira nchini Tanzania Hii...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Simba Vs Yanga 2020/21 WIN Simba 76.6% Yanga 62% DRAW Simba 15% Yanga 32% LOSE Simba 8% Yanga 6% MATCH GOALS DISTRIBUTION Simba 2.4 goals/match Yanga 2.2 goals/match TOTAL MATCH WINNING Simba...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Sote tunajua wazi simba hawana kocha tangu pablo kutoka real Madrid afukuzwe. Kwa hivyo nafasi yake yupo kocha wa muda ambaye alikuwa msaidizi yaani matola. Wakati haya yakiendelea huko yanga...
6 Reactions
71 Replies
4K Views
Kumbe Israel Patrick Mwenda (Israh) na Pape Osmane Sakho ni ndugu halafu hamsemi?
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Taarifa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa muelekeo ninaouna ✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi... ✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwanza. LICHA ya Yanga kubakiza pointi sita kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, Kocha wa Simba, Pablo Martin amesema ni mapema sana kukata tamaa kwani kikosi chake kitapambana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu muwe salama msiwe salama hainihusu,kikubwa kwangu YANGA BINGWA. Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu (maumivu mazito)hapa JF÷ 1. GENTAMYCINE (Huyu ndo...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 •...
13 Reactions
39 Replies
5K Views
PAPE OUSMANE SAKHO,THAMANI INAYOELEKEA SOKONI . Hii ni dhahabu iliyotoka ardhini na kupitia kwenye moto ,kazi iliyobaki ni namna ya kuipeleka sokoni ,uwezo kipaji na maalifa ndio vinaleta maana...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Uongozi wa Klabu ya Simba umempa mkono wa kwaheri mlinzi wake wa kati Pascal Wawa raia wa Ivory Coast ambaye anamaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu. "Asante sana Wawa Baada ya kuitumikia...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanasimba niwaibie tu Siri licha ya Mo kutapa kuwa anataka ubingwa wa Africa ili jamaa ni bahili balaa. Misimu uliopita alileta ubahili akaleta wachezaji wa bei chee tukachemka, msimu huu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita hawa jamaa(madrid na barca) walikuwa wakimtaka mchezaji hauchomoi. Hazard 120m,de jong 80m griezmanm 120m n.k. Lakini leo barca hata lewandowski anayepatikana kwa...
2 Reactions
9 Replies
766 Views
Leo ni weekend tunagawana umaskini, atakayetaja wachezaji wa zamani waliopo kwenye picha hii kwa usahihi bundle la weekend litamuhusu. Wataje.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom