Urusi hakuna future tena, baada ya mabilioner kuikimbia wanafuata wanamichezo
======
(CNN)Russian-born tennis player Natela Dzalamidze has changed her nationality to Georgian to avoid the ban...
Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini...
Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya...
Hivi ikitokea Yanga anamfunga Coastal Union FC kwenye fainali ya kombe la shirikisho Tanzania bara -ASFC,na huku tayari akiwa Bingwa wa NBC premier league.
Na kwakua mechi ya Ngano ya hisani...
Mkiambiwa simba wakajifunze jinsi ya kuendesha team kisasa toka kwa yanga mnabenua midomo kama watoto wa kike, tulieni dawa iwaingie makolo mtaisoma namba tu hata kimyakimya
YANGA ni kama...
Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana.
Anasema kama Mama Samia...
Uzi huu mfupi ni mahsusi kwa ajili ya watani kuwapa hamasa ya kusuka timu,yaani jana zile goli zilivyokua zikitinga jamaa walifurahi na kurukaruka utasema kuna kitu wanaenda ku archieve
Ushauri...
Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa...
Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio.
Warekebishe huu.
Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji)
Paul Mkai...
Timu yangu pendwa ya Simba S.C iko kwenye mipango ya kuajiri kocha mwingine baada ya kumtimu Pablo Franco ambaye tangu awali sisi tunaojua soka tulijua hatofua dafu, mazingira ya mpira wetu wa...
Uliahidi mwenyewe August 2021 kwamba kambi mwaka huu ni washington Dc USA huku Dc utd wakiwa team mwenyeji na tutashiriki mashindano maalumu yanayoshirikisha teams za MLS na za South America...
Wakuu Napenda kuwapa Taarifa Kwamba Kuna Pambano la Marudiano Kati ya Bondoa Usyk v. Joshua.
Pambano Hilo la Uzito Wa Juu (World heavyweight champion) litafanyika Trh. 20 Mwezi August 2022...
Ikiwa wamethibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF kuwa ni wataalamu wa kusakata Kabumbu Nchini Tanzania, Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo Juni 19, 2022, watakuwa kwenye Dimba la...
Kufatia tetesi za kuondoka kwa Tadeo Lwanga na kutua kwa Mnigeria Akpan klabuni Simba, ni muendelezo wa ujio na kuondoka kwa viungo wakabaji Simba lakini wote hao wamekuwa wakimkuta na kumuacha...
Si wote tunaijua mithali isemayo: Maskini akipata .................. hulia MBWATA!! , kwa hiyo tusishangae kusikia sauti ya mbwata, mbwata, mbwata! baada ya watani kulipata mwaka huu baada ya...
Miaka kama minne au mitatu nyuma mzee Hamis kilomoni alipinga kwa nguvu zote simba kuwekwa chini ya mikono ya watu wachache na ma genius kama sisi tukamuunga sana mkono matokeo yake mzee huyo...
Haya mambo yanakera sana.
Tuliambiwa hivyo kwa Mugalu,Kanoute Bwalya na wengine wengi.Ila cha kusikitisha hao waliosifiwa hivyo wamekuwa wa kawaida sana kiasi kwamba hata vitimu vidogo vinaipania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.