Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Juni 16 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni, mtaalamu mbobezi wa kusakata Kabumbu lililothibitishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF...
6 Reactions
97 Replies
7K Views
Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Manager mpya wa Aishi Manula mchambuzi mahiri Maestro Ibrahim Aisha Manula kaacha na manager wake wa zamani Jemedari Said. Huwezi ukawa meneja na unagombana na matajiri kila siku, Jemedari aweke...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Atawaambia Wachezaji wake anaowamudu kuwa Wampambanie kwa kumpa Ushindi Mechi zote zilizobaki ili aaminiwe na asitemwe kabisa Simba SC. 2. Atawapanga zaidi Wachezaji Washkaji (Marafiki) zake...
18 Reactions
60 Replies
5K Views
Sio Kama ambavyo Manara alivyo wadanganya wana yanga na waandishi wa habari wasiojua chochote na walio kosa udadisi.. IKO HIVI -Msimu huu wa mashindano ya CAF, Simba ya Tanzania ilianzia raundi...
21 Reactions
103 Replies
8K Views
🇸🇳| Mwanaume Kama Sadio 🫡 Sadio Mané alikwenda kucheza mpira wa miguu kijijini kwao Bambali na marafiki zake wa utotoni. Mvua hiyo haikuweza kumzuia nyota huyo wa Senegal kukumbuka enzi zake...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Jana wakati klabu yangu Yanga SC ikitwaa ubinga wa 2021 /2022 baadhi ya wachezaji. Waliojiwa na Gift Macha kueleza hisia zao na furaha zao kufikia hatua hi muhimu kabisa kuchukuwa ubingwa kabla...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Aisee huyu Benno Kakolanya Leo amenikosha sana kwenye mechi na Mbeya City, ameonyesha uwezo mkubwa sana, kama sio yeye ngoma ingekuwa 3 - 3, kuna makosa ya wazi kabisa yamefanywa na mabeki wa...
3 Reactions
8 Replies
899 Views
Klabu ya Simba leo hii Juni 15, 2022 hatimaye imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji hatari Moses Phiri raia wa Zambia. Phiri amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo ya Wekundu wa...
20 Reactions
76 Replies
8K Views
Yaani unaingia utafute taarifa current unakutana na last updated Machi 2022. Seriously!? Badilikeni mnatutia aibu kama taifa, ligi ya Tanzania unakosaje taarifa kwenye tovuti yenu.Imagine hapo...
1 Reactions
3 Replies
405 Views
Michuano ya dunia ya darts imeanza leo huko Ujerumani June 16 mpaka June 19 itakapoisha. Ukiacha South Africa hakuna nchi nyingine ya Africa inayoshiriki hili kombe la dunia. Rai: wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
JAMANI mnyamwez ndo anahutubia TAIFA hivi sasa karibuni tu DIGEST spichi yake
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe. Rangi hizo zilikwishapigwa...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11 Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol. Sasa ukija...
23 Reactions
42 Replies
3K Views
Simba imevuliwa ubingwa, wale viongozi waliodhani wanamkomoa Mo Dewji wakae wakijua kuwa aliyekomoka sio Mo Dewji, ni sisi wanachama na mashabiki, tunajua viongozi wala hamshtuki kwa sababu haya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Yeeees! Karibuni Sana Wapenzi Wa Soka, Wapenzi Wa NBC Premier League Ama Kwa Hakika Leo Juni 15, 2022 Inapigwa Mechi Kali Hapa, Mechi Dume Kati Ya Dar Es Salaam Young Africans Dhidi Ya Coastal...
15 Reactions
168 Replies
12K Views
Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakubwa tuna changamoto kubwa ya kupata wadhamini wa timu yetu ya mpira daraja la kwanza (Champions). Aidha waliotangulia kwenye mpira hawakuwa watu sahihi na wamevuruga hali ya hewa kiasi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu. Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hata mwaka jana Simba SC ilipotaka Kumsajili Moses Phiri tayari Uwezo wake ulikuwa umeshashuka na nilishangaa Kusikia kuwa bado Simba SC walikuwa wameshamhakikishia kuwa Watamsajili Kwa Msimu...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom