Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ikiwa ndio pazia ya ligi kuu Tanzania bara likiwa linaelekea ukingoni kwa michezo kadhaa kusalia, huku Yanga ikiongoza msimamo napenda kutoa ushauri kwa benchi na uongozi wa Yanga kutafuta mechi...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mimi kama shabiki wa simba sports club timu bora Tanzania na ni miongoni mwa timu bora Africa nawapongeza sana watani zetu wa jadi Yanga Sports Club kwa kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022. Ukweli...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Baada ya kula ng’ombe mzima katika mechi 26 zilizopita, leo ni fursa muhimu kwa Yanga kumalizia mkia utakaowapa rasmi ufalme wa Ligi Kuu msimu huu, watakapoikaribisha Coastal Union katika Uwanja...
1 Reactions
3 Replies
743 Views
Huwa najiuliza sana, inakuwaje kwa Mkapa hatoki mtu lakni tunapocheza na Yanga tunakuwa wazembe kiasi kwamba hata sare yenyewe inakuwa kwa mbinde, najiuliza Haji Manara anajuaje mipango yetu ndani...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hadi sasa Simba anaongoza, tuendelee kupeana updates. Credit: Azam tv Haya ni matokeo ya 05/06/2022 saa tatu kamili usiku. 06/06/2022 saa 8.00 asubuhi Tarehe 06/06/2022 saa 7.00 mchana...
3 Reactions
134 Replies
12K Views
Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama ungepewa nafasi ya kuwa mshauri mkuu kwenye timu yako, na kuna nafasi moja ya usajili na hao vijana wawili wapo sokoni. Ungemchukua nani kati yao? Au kwa kifupi tuseme kuwa kwa mtazamo wako...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nitumie nafasi hii kuwahakikishia Watanzania kuwa tutaweka nyasi bandia kwenye viwanja 5 kwa kuanzia Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Mbeya ili kukuza mchezo hapa nchini. Msamaha wa kodi kwenye...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa, Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu jana nimepata taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Duncan Butinini aliyeugua kwa muda mrefu. Huyu alikua mwanasoka hodari miaka ya 90. Msiba upo Kimara kwao. RIP
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Yanga imeingia mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Card kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na Wanachama wa klabu hiyo ambayo inaingia katika mfumo mpya...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Natambua kuwa pamekuwa na jitihada za kuingia naye mkataba wa awali. Pia inapasa tutambue kuwa biashara ni mchana na jioni mahesabu. Inawapasa kuwa makini zaidi kwa wakati ambao Asec Mimosas...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Soka la Kimataifa, hasa ligi kuu Ya Uingereza kwenye big match basi watakuwa wanamfahamu huyu mtangazaji mahiri wa mpira wa miguu Mr Peter Drury Sasa ni rasmi kwamba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaandika Unapopata taarifa kwamba habari yao kubwa ilikuwa sio ya kweli na kesho wakubwa wa nchi tutakuwa na jambo kubwa 😃 Nadhani tunaelewana tukisema jambo kubwa 🧐 #NguvuMoja Je, litakuwa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu salam. Baada ya Fainali kati ya Golden State Warriors na Boston Celtics ningependa kufahamu kutoka kwa wapenzi wa Basketball ni lini tena ligi itarejea .
1 Reactions
6 Replies
627 Views
Back
Top Bottom