Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.
Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest...
Yanga Tuna Tatizo?
Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki...
Pitso Mosimane aomba kuachia nafasi ya ukocha Mkuu wa klabu ya Al Ahly.
Mosimane aliandika barua kwa bodi ya Al Ahly SC akiomba kuondoka baada ya kuwaongoza kwenye kupata mafaniko makubwa kwenye...
MTAMBO WA MABAO NDANI YA WANYAMA MAN CITY ,KARIBU UINGEREZA ERLING HALLAND. [emoji460]️
Imeandikwa na Nasri Kulemba[emoji3578]
Kuna namna ya kukubaliana juu uwezo,maamuzi na kipaji ,kisha tukapa...
Kuna roho chafu za mizimu zinatawala vilabu vya simba na Yanga. Ndio maana unaona vitabia vyao vinafanana. yani kila Mwaka vitabia vinahama hama. mara leo Bundi yupo Jangwani mara msimbazi...
Eng Hersi, inaonekana amekwishashinda nafasi ya urais ndani ya yanga, ni dhahiri kabisa kuwa GSM kwa sasa ni Mali ya yanga baada ya asilimia zote za umiliki wa timu hiyo kuwa GSM, Eng Hersi tangu...
Wakat wachezaji wa Stars wakiwa wamesharudi kwenye vilabu vyao kwa ajili ya kukamilisha ligi ya NBC, wenzetu Algeria Leo wanashuka dimbani kucheza na Iran kwenye mechi ya kirafiki, halafu tunataka...
Kwa kilichojiri hivi punde katika michuano ya CECAFA kwa upande wa wanawake. Twiga Stars(Tanzania Bara) wameigubika 12-0 timu ya Zanzibar.
Wafungaji wakiwa;
Opah Clement (magoli 4),
Mwanahamisi...
Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu...
Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey aliyekuwa akiiendesha.
Kathryn alidai nyota huyo wa Manchester...
Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo
Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika...
KIASI kikubwa cha fedha ambacho Yanga itakivuna mwishoni mwa msimu kinaipa jeuri ya kunasa mastaa wasiopungua watatu kutoka katika timu yoyote barani Afrika na ikamudu kuwalipa mishahara na posho...
Hivi kweli Bodi ya Ligi ndiyo walikaa kabisa wakaona kuwa Kombe lile baya la Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC walilolitambulisha jana ndiyp litumike? Katika Maisha yangu yote ya Soka ( Mpira ) sijawahi...
Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi...
HABARI ZA KUSIKITISHA.
Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria 🇩🇿 B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari.
Benhamouda alicheza na kufunga katika...
Ethiopia inafundishwa na kocha wao mzarendo basi imekuwa nongwa eti na sisi tumpatie timu kocha mzarendo kwa sababu misri kafungwa na ethiopia! hii inaonesha kwa kiasi gani watu wanaopenda...
Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt.
Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania?
Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.