Kama haukuwa mtoto wa geti kali lazima michezo mingi ya utotoni utakuwa unaikumba binafsi nilikuwa napenda michezo mitatu tu ambayo ni;
1. Michezo ya vita hapo unaashumu wewe ni Rambo ukiwa na...
Kama hukuwahi kusomea shule zetu zileee basi kwa namna moja au nyingine utakuwa hufahamu mambo mengi sana
maisha ya shule(msingi na upili) yalikuwa na changamoto nyingi sana ikiwemo kupewa...
hivi huyu makonda-kita anaakili?
umesaidiwa kufika hapo umeshindwa kuficha kitu kidogo hicho?
ungetengeneza certificate ya kubadili jina basi yote haya yasingetokea, cheki sasa hulali usiku...
wadada hawatoi papuchi hadi wahudumiwe/wahongwe/wapewe pesa..
na wakaka hawahudumii/hawahongi/hawatoi pesa hadi wapewe papuchi...
so wanabaki kuviziana...
nb; sio wote though...
Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.
Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la...
Nawaza yule Dada wa Kwenye Tangazo la Coca Cola ..angekua anafanya kazi Pharmacy...
Unaenda unanunua Condom .. Anakwambia Hey Handsome its Happy hour.. *You won yourself a free condom*
*_But you...
Salaam
Naombeni dua zenu nimepata mchumba bongo movie jina nalihifadhi mpaka muda utakapofika.
Nitakieni ndoa njema maana wengi wameshindwa kuwaoa hawa vimwana.
Asante
1. Tundu Lissu
2. Paul Makonda
3, **M a *** li***
4. Mange Kimambi
5. Gwajima
6, Mbwana Samatta
7, Diamond
8. Thomas Ulimwengu
9. Ali Kiba
10. Bujibuji
Kama ulikuwa hujui ndo nakujuza...
Ukiwa Dar es Salaam maduka ya mchele huwa yanajinadi kwa mbwembwe MCHELE SAFI KUTOKA MBEYA
Ukishafika Mbeya unakutana na maduka ya mchele yakijinadi
PATA...
Habari wana jamvi,
Leo si ndio wanaita TBT(throw back thursday) eee...embu tukumbushane enzi zile primary school ile siku ya school baraza mambo yaliyokua yanajiri shuleni kwenu,
Kwetu sisi ilikua...
Ni Tanzania tu
Ambapo utaona kwenye SHELI wameandika
*LIPA KWA M-PESA*
Halafu pembeni wameandika
*TAFADHARI ZIMA SIMU*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.