JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi?*...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
[13/03, 18:41] Avit: Nipo kwenye daladala afu pembeni yngu limekaa jamaa...... bila ta aibu linasoma chats zangu zote[emoji35] Nkaamua kuweka front camera ndo tupo tunaangaliana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa...
8 Reactions
3 Replies
1K Views
Teacher : Our topic for today is photosynthesis,,,,Ben what is photosynthesis??Ben : Photosynthesis is our topic for today. Ndo nimeacha anapelekwa kwa walimu wa field
5 Reactions
8 Replies
2K Views
*Huu ujinga wa MADEM mnavaa hereni sikioni, puani, sijui mara kwenye kitovu na kwenye jicho.. Cheni kama buku mbili jero hivi hapo SHINGONI. Kuna dem kaanguka hapa stendi katoa Sauti kama...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapokuwa umepewa lift ktk gari zingatia mambo yafuatayo:- 1. Usiwe busy sana na simu, tablet au kifaa kingine chochote cha ki electronic ulicho nacho kwa wakati huo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police. Police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? Mbona gari lako...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na mimi kuanzia leo sipangiwi kitu cha kupost humu maana simu ni yangu, bundle ni langu na hata wakati nanunua nilikwenda dukani mwenyewe na kuchagua aina ya simu mwenyewe. Sipangiwi! Mimi ndio...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Habarini wandugu, Vipi siku yako imeanzaje? Umejipanga kusheherekea vipi? Upo mkoa au maeneo gani? kama inawezekana tudumishe umoja wetu wa kuzaliwa siku moja na ikiwezekana kukutana baadhi...
1 Reactions
4 Replies
564 Views
Jiraji Jirani Jirani kwanini jirani? Hapo awali jirani ulikuwa na tabia njema jirani! Lakini leo wewe sio tena yule wakale jirani ! Wa leo ni mpya jirani! Kabla umeme wa Tanesco haujafika...
1 Reactions
3 Replies
585 Views
Jamaa mmoja alikuwa anapita karibu na bank ghafla akajikuta ameanguka waliokuwa karibu nae wakaanza kupiga kelele jamani jamani leteni maji huyu mtu kazidiwa. Jamaa kusikia vile akanyanyuka kwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Masai mmoja alikwend town sasa akakubaliana na mwanamke kufanya mapenzi walivyo ingia chumbani demu akashuka chini na kuanza kunyonya. masai akasema, "kama hiyo inaliwa basi mwachie na mama Yoyoo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
..:D:D:Dkuna watu humu wakikosa cha kuandika basi ni mwendo wa:mad::mad::mad:mara:p:p:pwakiamuao_Oo_Oo_Owanamalizia na:):):):) nani anaongoza kwa kupost emoj??:eek::eek::eek::eek::eek:
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ingependeza kwa ajili ya vzazi vjavyo kuja kujifunza historia kwa lile tukio ambalo halijawahi kutokea ktk historia ya nchi yetu.Kadhalika mnara huo unaweza kuwa chanzo cha mapato kwa watalii wa...
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Habari za Asubuhi wana jf!! Jana nilisimamishwa na Polisi mida ya saa mbili usiku na akaanza kunihoji Polisi-jina lako nani Mimi-naitwa ******* ******** nikamjibu Polisi- kwa sauti ya ukari...
1 Reactions
5 Replies
613 Views
Rafiki hali inazidi kuwa mbaya nahitaji dua zenu ili niweze kupata unafuu
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wana Jf Nisaidie kujua kati ya hawa watu wawili nani alikuwa na nia ya kumuibia mwenzie?* Dereva: mama wa matunda shi ngapi yote uliyobeba? Mama wa matunda; yote baba 15,000/! Dereva;weka...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom