<b>Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer
Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.
Mtalii: OK, fine, do...
Wana chitchat!
Iko wapi Jf ya enzi hizo??? iko wapi MMU ya enzi hizo??
Jf ya kina
Excel
REALITY
Watu8
mzabzab
Eiyer
Descartes
Miss Neddy
utafiti
masai dada
arusha one
Nawengineo utawaongezea
Kuna...
Asante sana mimi kama kijana Mzalendo na mtafiti wa mambo ya kisayansi mwenye shahada kwa muda mrefu nimefanya utafiti wa kupunguza msongo wa mawazo nikagundua yafuatayo
1:KUJAMBA KUNA PUNGUZA...
Kwa mfano huu mlolongo wa matukio yanayomuhusu makonda yangekuwa ni movie. Wewe ungeipa Title gani?
Na je ingekuwa ni Action, Comedy, Horror, thriller, au Romance ?
*KWELI.WASUKUMA NOMA... NCHI NZIMA SASA HIVI TUNA WASIKILIZA WASUKUMA WA TATU TU, MAGUFURI, MAKONDA NA GWAJIMA.... PIGA MAKOFI KWA MANGOSHA*
~Mwandishi Huru~
2020 Usije kunielekeza mtu wa kumpigia kura maana nilijiandikisha mwenyewe, na kura nitapiga mwenyewe!!
Mimi huwa siingiliwi mambo yangu maana najua ni nani awe rais na asiwe rais, ukinipangia...
Waweza kumkumbatia mwenza wako na ukajisikia faraja.Waweza kukumbatia vingi vya kuvutia ukajihisi mwenye amani na furaha.Lakini kinyesi si kitu cha kukumbatia maana hata ujapokukiachia utabaki na...
Bashite angekuwa mtoto wa Don kwenye movie la Kimafia. Leo hii angeitwa sebuleni kwa mshua. Angepewa glasi ya mvinyo wangegonga cheers. Kisha mshua angemuambia *"Good Boy"* ...Baada ya hapo...
Mzee mmoja alikuwa anachunga ng'ombe na mwanaye..wakati wanawarudisha Ng'ombe nyumbani..walikutana na mto..wale ng'ombe wakagoma kuvuka...mzee alitumia jitiada zake zote ila alishindwa..kwa hasira...
Girlfriend giving house directions to her Boyfriend
"Come to the front gate of my apartment where you drop me, look for flat 9A,you ll find a lift on ur right. Hit 9 with your ELBOW.....get out...
JF napendekeza tuwaunge mkono jukwaa la Wahiriri kwa hii issue ya Paulo. Mimi napendekeza tuanze kuwa unfollow wale wote wanaendelea kumsupport Paulo huku kwenye social network.
Nataka wajue...
kila siku nilikuwa nikisikia watu wakisema kwamba hakuna mwanaume aliyejasiri mbele ya mwanamke ,leo nimejionea mwenyewe kwa macho yangu kamanda mmoja ambaye anasifiwa na kugopwa mno kazini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.