ama kweli Mungu yupo na huwa anajibu maombi ebu angali hiyo picha uone maombi aliyoombewa Paul C. Makonda. maombi hayo aliombewa na Christina Shusho kuwa ndani ya mwaka huu Paul C. Makonda atapata...
Kama na wewe umechoka na drama za kila siku na unaona bora liende tukutane hapa
Nukuu
Hela ya bando nimetafuta kwa jasho langu na simu pia tusipangiane cha kupost.
Bora liende tu.
ZERO IQ
Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri ya kuzaliwa Mzee kijana mtanashati kutoka ushirombo, anaefahamika humu jukwaani kwa jina maarufu Ushimen
MUNGU MWENYEZI AKUJAALIE UMRI MREFU WENYE...
Sidhani kama nitakuwa mwizi peke yangu humu, Nakumbukuka mara ya kwanza kuiba ilikuwa shilingi 10 miaka ya 90s kwenye chenji za mboga, wizi wangu ulifikia stage hadi nikachonga Funguo za vyumba...
Nimeshangaa mwanafunzi nadhani darasa la 5 au 6 anamwambia mama mkaanga maandazi na vitumbua "naomba vibashite vitano" Nilipoulizia nikaambiwa ni vitumbua. Hata chapati na maandazi wanaita hivyo...
PhD ni Doctor of Philosophy
Lakini PhD nyingine ni
"Permanent Head Demage" maana ukimwona yule wa cuf na wale walioteuana wa chama cha mbogamboga utakubali tuu
Nawaza kwa nguvu
Heshima kwenu Wakuu.
Nyeti zetu ni moja ya viungo muhimu sana katika miili yetu. Ndizo hututambulisha kwa jinsia. Pamoja na umuhimu huo, watu wamekuwa hawazijali na kuzitunza ipasavyo maeneo hayo...
Leo nimeingia mgahawa mmoja nikauliza bei ya chakula:
Mimi: naomba chakula cha mia 5.
Mhudumu: hamna chakula cha mia 5.
Mimi: basi poa ntarudi kikipatikana.
Mhudumu: kuna cha kuanzia elfu 2...
PAPER LA HISTORY 2 MWAKA 2020 LIMELEAK
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
HISTORY EXAM,MAY 2020
1.Account for the emergence of lip confrontations during the first quarter of 2017 between Bashite and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.