Ndio hivyo nguvu ya mume umedhihirika baada ya jirani yangu hapa mtaa wa pili alipokuwa anapiga umbea sana kuhusu mke wa jirani, kumbe huyu jirani alikuwa anavumilia sana, kikubwa zaidi huyu mpiga...
*Kwenye Nchi Zingne Mtoto Akianguka Utasikia "OOH MY BBY ARE YOU HURT"?*
*Tanzania Utasikia" USIMWANGALIE ATAANZA KULIA HUYO"*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni miezi kadhaa tumekuwa tukiona mijadala mbalimbali juu ya Makonda, ninaamini makonda wameona makosa yao sasa ni zamu ya kuwajadili madereva! Onesha ushirikiano wako kama ulivyoonesha ushirikiano...
Nimeshangaa kuona mwezi huu sijakatwa 15% kwa ajili ya bodi ya mkopo. Ndo nimemaliza deni? Wamesahau? Nimesamehewa? Au ndo wamerudisha 8% kwa maana mwezi uliopita walikata pesa ya miezi miwili...
kwa heshima na taadhima
NapendA kumu'wish' my dear, my love, my sweet my lotion, my kapeti,my ....
HAPPY BIRTHDAY TO YOU[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
I LOVE YOU SO MUCH
oooo sory...
Ila wabongo jaman basi tu ngoja tunyooke kwanza
Basi last month nimekaa zangu buzy na simu, nipo zangu Kibo Complex nachat chat na nini buzy na simu yangu
Mara mtu akadondoka inbobo, oh Aunty...
*Je, WAJUA?*
*Kicheche ndiye mnyama mdogo sana
lakini ana maajabu makubwa. Ana
uwezo wa kumdaka kuku wa aina
yoyote kwa kutumia mkia wake lakini
cha ajabu zaid hawez kuish bila kufanya mapenzi...
Happy Monday Guys!
hapa leo nawaletea kitu cha kuchangamsha bongo;
swali linasema:
KUNA MTOTO ALIKUWA ANALIA JUU YA KABURI, ALIPOULIZWA UNALIA NINI AKAJIBU:
"KAKA WA MKE WA MAITI ni MJOMBA...
Some dudes need to relax
ATC: "Cessna G-ABCD What are your intentions? "
Cessna: "To get my Commercial Pilots Licence and Instrument Rating.
ATC: "I meant in the next five minutes not years."...
Ndugu zangu kuna hili neno moja hivi
ni dogo lakin linamaana sana kama ukilitamka kwa hisia
wengine wanakufa kwasababu ya hili neno na wengine wanalia[emoji22] [emoji22] [emoji22] sababu tu ya...
Ebu nisaidie jamani zamani mabest na mademu zangu walikuwa wakiniomba elfu moja wanasema naomba buku lakini siku hizi wakiniomba wanasema naomba elfu moja mpaka najiuliza kwann au ndo msisitizo...
Dear women,
Ni siku nyingine na mwaka mwingine tena, leo imekuwa tena! Siku adhimu kabisa ya kukumbuka fadhila zenu mnazotutendea juu ya huu uso wa Dunia, kuadhimisha kila hatua mnayopiga...
Kwa Members active wa JF wote.
Inabidi huu ukweli muutambue ili tusije tupiana lawama hapo baadaye.
Ukiwa na likes chache kuliko idadi ya post ulizoisha post JF utambue kabisa unatumia muda...
Helou wanajamvi kumekua na shinikizo kubwa la kutaka mh makonda ajihudhuru na ana mwaka mmoja tu tangu awe RC
Sasa me najiuliza kuna watu wamefanya wameongoza mda mrefu na wanatenda ndivyo sivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.