JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
5 Reactions
89 Replies
6K Views
Tambua walipo wenzio time hii na wanafanya nini...!! Mi niko hapa gwasa napata tangawiz time hii!! Upo wap wewe..........
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Hubby, bby, darling ooops my everything[emoji106] [emoji106] I don't wanna God to give u much but to give you what you deserve according to His will. No man shall go against God's will into your...
9 Reactions
216 Replies
8K Views
Nilikuwa na mcheka rafiki yangu kwa kuvuta bangi kwa kujificha.... Leo nakunywa kiroba kwa kujificha.... [emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli malipo hapahapa duniani
1 Reactions
2 Replies
956 Views
Ofisa mmoja wa trafiki alikuwa akikagua assignment za wanawe wawili. Aliangalia daftari la mkubwa na baada ya muda akaanza kumfokea kwa kufanya makosa ya kipuuzi. Baadae akachukua daftari la mdogo...
3 Reactions
0 Replies
934 Views
MUUZAJI: Hii chipsi inafungwa MTEJA: Hapana inawekewa dhamana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
0 Replies
761 Views
0 Reactions
0 Replies
663 Views
How do short people seem intimidating to taller people?
0 Reactions
4 Replies
820 Views
Nyimbo imetungwa kimasihara ila kali kweli...jamaa kama hajaanza kuimba rasmi aingie kwenye fani kabisa
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu, kama title inavyojieleza, pindi unajiunga na JamiiForums kwa mara ya kwanza nadhani kila mtu kuna vitu/ maneno yalimpa wakati mgumu sana. Hakika mimi mwenyewe kuna mambo/ maneno...
2 Reactions
107 Replies
5K Views
Hii ni thread maalum kwa zile katuni zenye kuondoa stress pia kutoa funzo katika jamii. Kama unazo, tupia tu
2 Reactions
1 Replies
9K Views
Ofisa mmoja wa trafiki alikuwa akikagua assignment za wanawe wawili. Aliangalia daftari la mkubwa na baada ya muda akaanza kumfokea kwa kufanya makosa ya kipuuzi. Baadae akachukua daftari la mdogo...
9 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo ni birthday yangu guys!!
2 Reactions
12 Replies
996 Views
RAHA YA KUWA NA MWANAMKE MSOMI na MWEREVU, MESEJI ZAKE 1. Ndio mpenz wangu, nimekumiss sana. Naenda pata lunch, tutaongea vizuri baadae. Love you! 2. Mume wangu kipenzi nazidi kumuomba Mwenyezi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
A man was leaving a cafe, when he noticed an unusual funeral... A funeral coffin was followed by a second one. Behind the second coffin was a solitary man walking with a black dog.. Behind him...
2 Reactions
2 Replies
866 Views
Habari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ? Karibuni sana tupeane mawazo. Usichafue ustaarabu.
0 Reactions
99 Replies
6K Views
SIPENDI TABIA HII MIMI Hakuna kitu kinachonikera kama mwanaume kumfata msichana inbox iwe fb au whatsapp na kumuomba namba ya simu. Kama wewe ni msichana na unakerwa na hii tabia kama...
0 Reactions
8 Replies
833 Views
Ama kweli dunia ina maajabu na ukistaajabubya Mussa utaona ya firauni. Watu wengine wanadai mwanadamu hata uwe na akili vipi lakini kuna muda utafanya upumbavu. Hiki ndicho ninachoweza kusema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunatakiwa kujenga Utamaduni wa kutakiana heri kabla ya kutupia hoja yeyote ndani ya JF. Naamini hamjambo. Mungu awatangulie ktk shughuli zenu za kuwa nzima.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…