JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari ya jumapili waungwana kweli leo nimeamin milima haikutani ila binadamu hukutana....leo nilishiriki ibada mbezi beach kanisa nalihifadhi jina..wakati natoka kanisan eneo la mlangoni ili...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Unalala unaota umeokota hela, ukiamka huna kitu, Mara nyingine unaota umeokota dhahabu, ukiamka unajikuta wewe bado lofa Tu, " Sasa itokee unaota eti unakojoa, ukiamka Tu, Imoooooo!.
0 Reactions
1 Replies
453 Views
. Lissu; Taja majina yako kwa ajili ya kumbukumbu Makonda; Paul Christian, Makonda Lissu; unaweza kuiambia mahakama juzi ulikula chakula gani ahsubh, mchana na jioni? Wakili wa Makonda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
frankgalos upo wapi? Huyu jamaa alikua yupo vizuri kwa masuala ya computer, pamoja web development kwa mafunzo mazuri sana naona nafasi imechukuliwa kwa wakali hawa: CHIEF MKWAWA Mwl.RCT Na wengi...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
*nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi?*...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
*YAANI HII MVUA YA LEO NA BARIDI NI RAHA SANA MKIWA WAWILI MMOJA ANAPIKA CHAI MWINGINE UNAMTUMA VITUMBUA* _*wewe waza ujinga tu*_
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba ushauri jinsi ya kumlinda makapera maana wabongo hawakawii kujifanya wanampenda kuliko Mimi niliyemuoa
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Unakumbuka haya enzi za shule? Kama umesoma st. Kayumba utakuwa una aidia na haya… 1. Unaenda shule umechelewa unakuta mwalimu anakamata wachelewaji unaamua urudi nyumbani. 2. Unachukua kimbegu...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
I had a girl that would've died for me.. Didnt 'preciate her so I made her cry for me.. Every night she had tears in her eyes for me.. Caught a case, shawty took the whole ride for me.. First we...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sijajua kama umo humu,lakini huu ni ujumbe wako kwa siku hii ya leo,nakutumia ujumbe huu nahisi upo humu Jf maana una akili sana,kila mwaka nimekuwa nikikutumia keki ya siku hii ya leo popote...
1 Reactions
0 Replies
541 Views
Wadada wa bongo bana, Utawasikia: Wanaume wa siku hizi hambebekiiii hata mkibebwa mgongoni mnachana mbeleko" Jamani kwani wanaume wa zamani wameishaa? Wapo wengi tuuu wakina Kingunge, Malechela...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekaa na kuwaza kutokana na Hali halisi ya sasa hivi nchini Tanzania unaweza pata mke bikra ukamwoa ??? Na si mnajua mke halali kiserikali ni miaka 18 je wapo bikra siku hizi????
1 Reactions
90 Replies
12K Views
Ohh kumbe yeye basi sawaaa ...aseee wana jukwaa habari zenu !!!!!!! nimekuja hapa kwa shida moja tuu asee ....nmetokea kumpenda huyu manzi sasa dah shida kumpata...yaani...
2 Reactions
33 Replies
15K Views
Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana kabaskeli kake hapa... nyuma kana begi lina picha za...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale...
6 Reactions
37 Replies
11K Views
7 Reactions
27 Replies
4K Views
4 Reactions
2 Replies
3K Views
KWA WANAUME: [emoji109]Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom