Mimi sifagilii kabisa wanaume sijui kumpenda mtu japo nimejawa na mapenzi tele ila nashukuru sana kuna watu wanaonifundisha upendo kwa kunipenda kwao! Mmojawapo ni huyu ndugu Bujibuji ...
Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA...
Habari wakuu
Yani hizi ndo ninazoota kipindi hiki cha Mr Solex ni za ajabu,mara naota nakimbizwa na nyoka anakonda,mara naota naanguka kwenye shimo kubwa lenye giza,mara naota Tanzania watu...
Nimekuwa nae sasa kwa takrini miezi 2 na nusu sasa ila chakushangaza kila ninapohitaji mzigo anakuwa Oky, sasa ananiambia tuanze maandalizi ndipo bi mdada anapoanza kunishughulisha kwa kunipigisha...
LEO SHANGAZI KANIPIGIA SIMU
Shangazi: hallow umepata kazi uko mjini
Mimi: Ndio
Shangazi: kazi gani
Mimi: kazi ya ubinadamu
Shangazi: kwani ubinadamu ni kazi
Mimi: ndio
Shangazi: ongera, malipo je...
Jamaa: Mambo honey, upo ok?
Mrembo: Sipo ok my dear
Jamaa: Una tatizo gani baby?
Mrembo: Nimetoka hospitali kupima, nna mimba.
Jamaa: Weeh usiniletee balaa hiyo mimba imeingiaje wakati huwa...
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya ndio yaliyotokea jana baada ya wamama kuondoka na kuwaachia waume zao nyumba kwenda kusheherekea women's Day...........habari kamili wanazo watoto...
AJIRA NGUMU!!
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.