JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi… Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimewamiss wana MMU kituo changu cha kwanza nilipoingia JF Naamini majina huendana na tabia na hata mwonekano wa mtu na hata viwango vya kimaisha bila kusahau uzuri Kwa uzoefu wako...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Madame B Cantalisia Rejao Bishanga Paloma Mentor @Husnyo Vin Disel TANMO FirstLady Remmy nawengine Siku nyingi sijaona wakitia timu humu?
7 Reactions
96 Replies
5K Views
Bosi mmoja aliyemfukuza mfanyakazi wake kazi alilazimika siku moja kulala macho yaan kukesha baada ya kuona kila siku akiamka asubuhi anakuta kinyesi mlangoni mwake, sasa siku moja akaona akae...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Deleted member 421398
Muwe na njozi njema kesho panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu
1 Reactions
1 Replies
925 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Ndugu mtanzania mwenzangu, najua unapenda sana vitu vya dezo, ila katika utawala huu itakubidi tu ulipie umeme kadri unavyoutumia. Watanzania tufanye khaazi (in John's voice)
1 Reactions
49 Replies
6K Views
* CAMERAMAN WA ENZI HIZO. ...* [emoji57][emoji57] Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
tukutane hapa katika uzi wetu sio mbaya tukipeana experience na exposure this is Chit Chat
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf nina uhitaji wa T-Shirts aina ya form six za rangi ya njano iliyo kolea kwaajili wanafunzi. Kama unazo au unajua zinako patikana naomba tujuzane.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba utoe Kichwa cha Habari kwa magazeti ya kesho.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeanza kuflirt nae mda kidogo,we clicked yani... basi tukawa tunaenda na flow.... He is a very busy man... I know he is taken and so am I... We both didnt have the intention of going...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna jirani yetu mzungu alikua anafanya kazi katika kampuni fulani hivi hapa town. sasa alikua ana paka wake huyo anampenda sana,anampa chakula,anampa huduma zote muhimu mpaka kwenye gari lake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanaume wenzangu mwanaume kutembea na kitana mda wote akiguswa kidodo anaanza kupitisha kitana, je wewe unaona kwako imekaaje?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimepiga Eagles nest sec school kuanzia 2002 mpaka 2006 ni mwaka nilio maliza senior 6. Daah nimemis sana chikomandoo... Na kitu cha Rolex... Plus butunda Na chakula cha Yule mama wa soko la...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari za jumapili wakuu zangu.Kuna huu wimbo wa navykenzo una sema mwanamke sio BAJAJI ukipanda ushuke usahau wala pikipiki. Mimi kwa mtizamo jinsi wanavyofanya Hawa jinsia jirani kujirahisisha...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sabalnuru wapendwa, Kuna usemi unasema adui yako usimwombee maradhi wala kifo, mwombee kupenda asipopendwa kwani mateso yake ni nusu ya jehanamu. Kuna wanaokubaliana na usemi huo?
16 Reactions
54 Replies
5K Views
Tungesema mtiani wa mwisho ila marks huwa haziwekwagi wazi sasa tujiulize kwa ule wa mkoa tu, nani angekuwa hai? Wakuu mi kusema la ukweli ningeshaondoka kitambo sana
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuchangamshe bongo kidogo andika neno la kingereza ambalo litambidi msomaji atafute dictionary Virtuoso Polyunsaturated Ophthalmic Kumquat Chrysanthemum this is Chit-Chat [emoji173]
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom