*Mke wako anarudi nyumbani kasuka nywele za 30,000 na hujampa hata mia,
we unakalia kusema waooo waoooo kama king'ora cha ambulance.*
*Shauri yako we endelea kubweka tu"
Wanawake wa JF tunawapenda na kuwaheshimu sana,japo single mothers mara nyingine huwa mnakuwa na hasira sana lkn ki ukweli tunawapenda sana.Furahieni siku yenu hii muhimu nyie masuper woman Nifah...
Tangu Ijumaa nimemtafuta mdogo wangu Mshana jr. haonekani, hajibu vijembe, wala pm yupo wapi?.
Kuna uzi umekuja kama utani lakini mimi nipo serious naomba Mshana ajitokeze sababu kuna uzi...
Bill Gates ana USD billioni 90 hana kitambi, Mohammed Dewji ana USD billion 1.3 hana kitambi, Mark Zuckerberg ana USD billion 54 hana kitambi, Amancio Ortega ana USD billion 74 hana kitambi, Aliko...
Darasa aliwafunika Dimpoz na Kiba kisha Diamond na Rich mavoko kisha Diamond na NEYO bado darasa aliendelea kuwakimbiza....Darasa akaja kumezwa na Bashite. Mpaka wakaja na ujanja wa msaada new...
Kuna siku nilichelewa kurudi nyumbani!dingi akanikata stick nyingi sana akaniambia hakuna kula mchana!mtembezi hula miguu yake,afu mama ndio alikua anaepua maharage jikono na kitu cha wali kilikua...
*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini...
Jesus Christ- The Son of God/ Our Lord and Saviour
Jacob son Isaac and Rebekah
Julius Ceaser
Juius Nyerere
Jacob Zuma
James Bond
John Paul II
Janet Jackson
Jakaya Kikwete
Jakaya Mwambi
John Komba...
Tokea sakata la daudi lianze sio mtani sio shule kila mahali ukichangia mada watu hawataki kuelewa wanataka kuona vyeti kwanza huyu bwana mmoja ametuletea balaa huku mtaani
Imekua kawaida sana na kuaminika kwamba njia sahihi ya kutoa adhabu ni kushushia kichapo kwa watoto wetu, wadogo zetu, wanafunzi wetu hata wapenzi wetu, Kuna utafiti uliofanyika ukionyesha kwamba...
Mipango yangu ilikuwa ni kuoa mzungu.. Nimeisitisha kwa sababu moja kubwa.. Raha ya ndoa ni umbea.. Kabla ya kulala mnaanza kumsema jirani wa kwanza.. Jirani wa pili.. Bosi wako halafu mnafanya...
Kuna aina mbili za wanaume. Moja ni wale wanaojiita wa Daslam na wengine ni wale wa mikoani. Ebu tuangalie huu mfano halisi.
Mwanaume wa Arusha kakaa mahabusu miezi minne anatoka huku anacheka...
Ushawahi kumpenda msichana mpaka inafikia wakati unaenda kumuona baba yake na unaamua kumpongeza kwa kufanya mapenzi bila kuwa condom[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAMBO KUMI(10 ) NINAYOJIFUNZA JANUARY
1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.
2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini.
3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini.
4...
Kuna jamaa alivamia chakula, kapiga tonge la kwanza watu wakamwalia, kapiga la pili watu wakaguna mmmmhh..!
Akapiga tonge la tatu mshikaji mmoja jemedali akamkung'utisha mkono kwenye sahani la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.