1. Huwezi kuweka pilipili kwenye macho kama ishara ya kuonja
2. Huwezi kuhesabu nywele za kichwani
3. Huwezi kupumulia PUA wakati ULIMI uko nje
4. Najua umejaribu hilo la 3
5. Umeonekana kama...
Natumaini makapuku wenzangu mko salama pia kama kunakapuku wengine hawapo safi kiafya Mungu aweke wepesi waludi katika hari zao za awali. Sina mengi makapuku wenzangu nawapenda sana.
Habari ndugu zangu!
Katika mambo ambayo watu wa kisasa tumekosa, hasahasa wakazi wa jiji la Dar, jiji la foleni ni kukosekana kwa muda wa kutafakari. Hii pia inaendana na kujengeka kwa tabia ya...
Hamjambo wananchi?
Leo kuna kisa kilinikuta ndo maana nilipotea ilikuwa ivi, yaani kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya kuingia kwenye LIFTI wakati kila mtu anatafakari afanyeje me wakati huo...
Wakuu nashauri jf ifungiwe, maana ni kama madawa ya kulevya.Nimekuwa mhanga wa haya madawa.Ila tuache utani kuna mda inanifurahisha, niliwaza, na pia kujifunza vitu mbalimbali.Dah nimekuwa mtumwa...
Ni matumaini yangu sote tu wazima, nawaombea kwa Mungu wote walio tofauti kiafya.
Twende moja kwa moja kwenye suala husika,
Ndugu wana JF wenzangu je kwa wakati huu ukikutana na mtu aliye toka...
Kuhama analogy kwenda digital na TCRA kuzima kuzima simu feki SERIKALI ili tuongezea muda,je?Mh:hatu ongezewi angalau 2 WEEKS tumalizie VIROBA vyetu!!.....
Have u ever noticed that most unpleasant words start with the letter "D"? -; Delete, Destroy, Divorce, Disappoint, Death, Disaster, Disease, Debts, Disrupt, Depression, Demise, Demons, Devil...
Nimeshaapa hakuna kitakachonirudisha nyuma kama M/Mungu akipenda. Natarajia yafuatayo:-
.kuwaona wageni watarajiwa kutoka ki
jiji anakotokea huyu bwana (kiumbe)
. Pia natajia ile story...
wakuu..!
dakika chache zilizopita yamenikuta haya..
nilikuwa naswaki sehemu ya kuswakia lakini nikawa nimesahau kitu chumbani kwangu ikabidi nirudi. Wakati nimerudi ndani akaja mtoto mzuri anaekaa...
Have u ever noticed that most unpleasant words start with the letter "D"? -; Delete, Destroy, Divorce, Disappoint, Death, Disaster, Disease, Debts, Disrupt, Depression, Demise, Demons, Devil...
Jamani namtafuta huyu mdada, siku mingi NO SEE, chemistry ndo ilikuwa imeanza kunoga tu kati yetu ila me nikapotea humu kidogo, so napenda kumjulisha nimerudiiiiiiiiiii
Haya unadhani utaweza kutambua maeneo haya ya WILAYA, KATA na MITAA ya Dar es Salaam:-
1. [emoji64]+[emoji491]+la
2. [emoji362]+[emoji482]+[emoji362]
3. [emoji360]+ga+
4.[emoji360]+[emoji808]
5...
Niko bored facebk makondo, jf makonda, magazetini makonda, twitter, whatsup, insta yaani huko kote ni makonda utadhani hakuna habari nyingine.
Bora tukumbushane mambo yetu ya nyuma tucheke...
Salaam!
Naandika kwa uchungu mkubwa sana, ila lazima niamue kweli yenyewe, decision must be made!
Kwanza natanguliza shukrani zangu zote kwake Heaven on earth kwa kunilea, kunipa hifadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.