JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
DADA WA KAZI ANATAKA KUONGEZEWA MSHAHARA House girl alitaka kuongezewa mshahara, lakini mama mwenye nyumba akataka apewa sababu 3 za house girl kutaka kuongezewa mshahara: DADA: Ninaweza kupika...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Nimefika Dar es salaam 2002 lakini hadi Leo sijawahi sex na MTU katika ardhi ya DSM wala kuingia guest
3 Reactions
77 Replies
9K Views
Wakuu kuna kibubu changu nimekiandika ,"Lema" kina wiki sasa sijui ntanunua nini lema akitokaa!!! Ebu nishauri budget yaweza fika laki
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo, kila siku napishana na magari katika mji Wenye msongamano wa watu na kila kitu, kisa tu eti kila kitu kipo huku? Joto nalo usipime, umbea wa hapa kila siku kuna toleo jipya la...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Kijana usikimbilie kuoa eti kwasababu rafiki zako wameoa au unapata shinikizo toka pande fulani!Kumbuka kuoa kuna mambo haya [emoji111] kupata au kupatikana ukipata hakuna tabu hapo ila...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
"...zero yaan, yule bwana,...yule kiumbe, akazungusha zero yaan, sio IV zero yaan...." - Gwajima Dah huyu Gwajima ni babayake Mange? Maana kwa vijembe hatari sana, sishangai mh Bashite kwenda...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Pale mtangazaji anapocheleweshewa mshahara utasikia "Taarifa hii ya habari inakujia kutoka MAMBO TV. Habari kamili...Mbeya....Serikali IMEBINU MBUNI...kumradhi...IMEMBINU...
23 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo sijui nimeamkaje.... Yaani nimekaaa kisharishari. Sijui nimtukane Faizafoxy.
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha. Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
majina yafuatayo huwa sipendagi kuyasikia kutoka na jinsi yalivyo majina yenyewe ni haya yafuatayo -chausiku -mwanne -bashite -kondakta
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Huko instagram, unakuta mtu anakutaka friend request, humjui na hayuko kwenye list ya friends zako, na wengine wanaenda mbali,wanaweka mapicha ya wahindi,au ma actors shtuka ni li EX lako...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Unajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ulanzi ukiukuta kwa wagemaji ni bonge labidhaa. ukute kitu kama hiki. kwenye mazingira kama haya.
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Muda utakaofika nitachukua fomu ya kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki kupitia CCM. Naombeni maoni yenu watanzania wenzangu! Karibuni na ahsanteni.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
*Nilichogundua ni bora usutwe na wadada wacheza vigodoro kuliko kusutwa Na Gwajima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]* Haleluuuuuyaaaa Dr Slaa mpaka Leo hajulikani alipo
6 Reactions
10 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
819 Views
Unamtongoza Demu kwa meseji150 na humpati... Halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata... Ndo utakapokumbuka kujaza *booklet* kwenye mtihani sio kupata "A".
8 Reactions
12 Replies
3K Views
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma. Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao. Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF. Graduated...
23 Reactions
213 Replies
14K Views
Mimi na masela wangu wa Form slii B tukila bata nyumbani kwa mwalimu bwajoko baada ya kumaliza pepa za temino
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Back
Top Bottom