JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya? Zulia. Kapeti za manyoya
1 Reactions
52 Replies
2K Views
Miaka miwili iliyopita nilitapeliwa na mtu ambaye nilimuamini sana, akakimbia sikujua anaishi wapi, wala ndugu yake hata mmoja, ila nilimwambia tutakutana tu, na kukutana ni tendo la lazima. You...
11 Reactions
14 Replies
872 Views
Sio mimi peke yangu Bali wadau wote wamezilalamikia pombe za Leo kuanzia bia Mpaka konyagi tumekunywa lakini hatukufanikiwa kulewa Mpaka sasa hizi.
1 Reactions
18 Replies
388 Views
kuna utafiti nimeufanya katika mikoa mingi nchini maeneo yote ya mijini yanakaliwa na watu kutokea kabila la wamanyema .... kwa mfano ukiangalia mikoa kama vile 1.Dar es salaam wazalamo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwenye maisha kuna vitu ambavyo mtu anaweza kuw anafanya kila mara na ikawa kero kwa wengine. Hali hiyo anawaweza kuwa anaifanya kwa kujua kabisa makusudi kuwa anawakera watu wengine lakini wapo...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya...
5 Reactions
8 Replies
526 Views
Kibibi kimejaa mvi kichwani muda wote kipo online kinafatilia udaku huko IG Snapchat Facebook nk Dingi kajaa mamvii kichwani halafu chawa Dingi kavaa kata k. Ongezea.... Hivi wahuni nao...
1 Reactions
11 Replies
463 Views
Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Uzi huu utumike kama tiba ya ugonjwa wa mawazo au kwa ajili ya kurejesha normal state ya mtu aliye bored, msemo wa yule binti anakwambia yuko board[emoji16] Umekutana na reply inayovunja mbavu...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Nimekunywa Konyagi this morning natokwa na jasho balaa. Nahisi nishapoteza maji kama lita 10 mpaka sasa hivi. Au itakua konyagi pori hii, mbona za zamani hazikuwa hivi?
1 Reactions
34 Replies
762 Views
Habari wanaJF, Natumaini wote humu mko poa.Leo nataka kusikia maoni yenu kuhusu hili;ni jambo gani ulilokuwa unaona la ajabu au sio la kawaida na huwezi kulifanya hapo awali ila Sasa unaona ni...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Nilikuwa napita pita zangu huko mtandaoni,nikakutana na tangazo la wauza viwanja (madalali). Nilisikitika sana baada ya kusoma like tangazo. Nikasema Bongo Kuna watu Wana uchumi ambao wanaweza...
12 Reactions
63 Replies
2K Views
Salaam wakulima na wafugaji Kichwa cha uzi cha husika Karibu tutiririke [emoji846]
6 Reactions
76 Replies
2K Views
Hii imenitokea Mimi leo asubuhi nilienda mgahawani kunywa chai Sasa pale kulikua na watu kadhaa,, kuna jamaa mmoja akawa anamsifia mdada fulani pale. Sasa kilichofanya nichekwe nilimwambia yule...
6 Reactions
17 Replies
495 Views
Sisi wenye macho ya fursa tumeona ipo fursa hapa. Imagine unaanzisha live betting ya kukatika kwa umeme. Masharti ni mkeka unawekwa kila siku saa sita kamili usiku. Mkeka unadumu masaa 24. Mteja...
18 Reactions
28 Replies
644 Views
Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
1 Reactions
4 Replies
344 Views
Habari, Niende kwenye mada nipo likizo kikazi na familia yangu hapa Pwani,Kibaha picha ya ndege karibuni Chrismass nachinja Ng'ombe ok tuachane na ayo sasa bwana wakati nipo Arusha hapo ninapo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Asalaam aleikyum waungwana..? Natumai mu wazima na Buheri wa afya zenu mnazozitumia kumtukuza muumba na wengine mnazitumia kutenda maovu!.. yote kwa yote kikubwa tunaishi. Turudi kwenye kizaizai...
3 Reactions
8 Replies
665 Views
ChatGPT ina akili Vizuri kweli?
6 Reactions
10 Replies
558 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…