JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Igweeeeeee Eid Mubarak kwenu nyote. Maaake kwanza ncheke. Umewahi kujikuta unajua au unaimba wimbo flani kila mara ukihisi ndo maneno/lyrics sahihi lakini siku unakuja kuziona lyrics zenyewe...
6 Reactions
16 Replies
475 Views
Mara nyingi binadamu tumekuwa na kawaida ya kusema, leo najisikia ovyo ovyo yaani sijui hata nifanye nini?. mbona huwa hatusemi Leo najisikia vizuri naweza kufanya lolote ama chochote
3 Reactions
5 Replies
374 Views
Wanajamvi habari za sikukuu ya Eid El Fitril, naomba kwa anayefahamu bei rafiki kwa guests house za Shinyanga maeneo ya Iselamagazi.
1 Reactions
3 Replies
336 Views
Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Inakuaje bangi inawekwa kundi la madawa ya kulevya? Mbona Kuna Wana wanavuta sana ganja lakini wapo poa sana na wanafanya kazi zao vizuri tuu. Kitu kama shisha ndio naskia ina madhara mengi...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Kuna mambo yanafurahisha na kusikitisha kwa pamoja Kuna vitu havikwepeki hasa suala mbususu Yani utajizuia lakini kwa mwanaume ngumu pamoja na ugumu huo na tunaweza kumudu kufanya starehe ya namna...
4 Reactions
12 Replies
646 Views
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma Enzi hizo nilisoma hadithi kv...
3 Reactions
90 Replies
22K Views
........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina...
3 Reactions
504 Replies
32K Views
Siku ya leo maandalizi ya vyakula yanakuwa mengi na kila mtu na aina ya chakula anachovutiwa nacho Ungependelea chakula gani kati ya hvi..? -Biriani nyama -Biriani kuku -Birian samaki -Wali...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Tumeamua mimi na familia yangu tunafunga kwaanzia leo usiku hadi alhamis jioni mfululizo. Hatutashinda njaa Bali tunafunga. adriz
0 Reactions
8 Replies
535 Views
Naombeni mwaliko kwenye sherehee ya IDDI . Unique Flower .
5 Reactions
28 Replies
812 Views
Eid mubaraak ndugu zangu, ramadhaan imekamilika na Eid fitr imeingia hatuna budi kusherehekea. Panapo majaaliwa kesho nikiufinya mtoko utakuwa kwenda kuwatembelea wagonjwa. VIPI WEWE MTOKO WAPI?
0 Reactions
13 Replies
500 Views
Aliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu. Confirmed kesho ni Eid
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Usiwe na ujasiri sana kufanya mazungumzo au kukutana na watu usiowafahamu mtandaoni. Kwa upande wako mwana-Jamiiforums unanini ya kusema kuhusu haya maelezo..?
6 Reactions
36 Replies
1K Views
1. Single mother Watanzania wengi walikuwa hawajui single mother ni nani 2. Wanaume wa dar 3. Mizagumuo 4. Kataa ndoa 5...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
4 Reactions
18 Replies
660 Views
Wadau hamjamboni nyote Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu Gharama zake za kutisha Nimeweka...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Uvaa nguo kwanza, alafu upaka mafuta sehemu za wazi za mwili wake baada ya kuvaa nguo. Sasa wale wanaojipakaga mafuta mwili mzima tuwaiteje?
8 Reactions
88 Replies
2K Views
Unaweza kuona uzi hapa JF mpaka ukahisi umeandikiwa wewe au huyo aliyeandika utakuwa unamjua, ni nani huyo au uzi gani funguka mwana JF tuburudike hapa, mimi wangu utakuja soon.
4 Reactions
150 Replies
9K Views
Back
Top Bottom