Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo...
Sio tu Dubai na nchi nyingine huko falme za kiarabu hata mmomonyoko wa udongo mbeya pamoja na mafuriko ya Arusha na hata bwawa la monduli kupasuka chanzo ni bwawa la mwalimu Nyerere! Kwa Hali hii...
Habari zenu Wanajukwaa!
Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa...
_________________________________
Pesa ya kuokota : Ni pesa ambayo haukulazimika kuifanyia kazi! Hapa kuna maeneo mazuri ya kutembelea ili upate hiyo bahati.
1. Tembelea Sehemu za Uoshaji...
mungu Pombe
mungu Uke
mungu Nyama (BBQ).
Pascal Mayalla, MBITIYAZA, Nyani Ngabu,
walwa, nyoo Na nyama.
_____&&&_______________________________
1; mungu Pombe (walwa)
anatumika kwenye kutambika...
Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya...
Sikumoja punda alikutana na punda jike, pembeni kulikuwa na nyumba ya mkulima yenye jogoo na ng'ombe.
Baada ya punda dume kumwona punda jike basi akachomoa mkuyenge wake, jogoo alipoona mkuyenge...
Utafiti wangu ulochukua miaka mingi hadi sasa umekuja na mkataa wa kudumu wa maneno ya hizi bajaji.
Unaweza hisi inasema sijui nini " Gochionale kikachukattchu ka" 🤨🤨
Mwingine naye atasikia...
kuna makamanda wa polisi wa mikoa waliovuma sana enzi zao za utumishi Jeshini kwa kupambana na uhalifu. Mmoja wapo ni, Venance Tossi.
Tukumbushe wengne unaowajua.
Good evening!!
Baada ya interview nzuri Na miss natafuta,tunapenda kuwajulisha kuwa,mnamo saa kumi Na mbili jioni tutakuwa nae bibie Faiza foxy .
Ili kupata viovyo tofauti tofauti tunaomba...
Wakuu,
Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya...
Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za...
Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu.
Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.