Hizi mambo za kupewa albamu kuangalia picha za wenyeji wako hivi bado zipo kweli ndugu zangu? Wewe ukienda kutembelea ndugu, jamaa na marafiki ukifika wanakupa nini au wewe ukitembelewa huwa...
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
wakuu ni aje.
Kama kichwa cha habari kinavyojeleza hii ndio post yenye likes nyingi hapa Jf tangu ilipoanzishwa👇
Kama kuna post unahisi ina likes nyingi kuzidi au zinafuatia share hapa
Wengi wetu tunakaribia kusherekea sikukuu za Pasaka na Eid el Fitr.
Mimi binafsi nitaenda kufurahia sikuukuu yangu katika hiyo Coco Beach
Je, nawe utaenda wapi?
Katika maisha zipo nyakati, ambazo naweza sema ni nyakati ngumu sana na zina misukosuko mingi, kiasi cha kwamba usipokuwa makini unaweza ukaachana na kila kitu kutokana na nyakati hizi kuwepo...
Mbuzi wanaokaidi sheria za fizikia, kwenye clip hii wanashuka kutoka juu ya mti, hebu wataalam wa yule jamaa yenu mzungu wa kwa nini jiwe linarudi chini kutokana na sijui gravity mara atomy of...
Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao.
Imeandikwa...
leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa...
Habari wanaJamiiForums..!!
Tukiwa tunajianda kulala nimeona niwaletee mada kidogo. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu.
We mtaje tu huwezi jua kupitia kumtaja kwako ghafla mambo yanachange na...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa.
Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa...
Unatamani nini sasa hivi?
Mi natamani nyama ya kuchoma au kuokwa,iwe ya motooooo. Bahati mbaya sehemu ambayo naweza kupata ishafungwa saa hizi. Sijui kwanini hii hamu haikunijia mapema. . . ...
Uturuki itakuja kununua nguo Tanzania. Made in Tanzania.
Watazigombania nguo za Made in Tanzania
Ukiwa Uturuki tu utasikia "dont want if not Made in TanzaniA"
Mmesikiaa wanangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.