Hilo nimeliona siku za karibuni. Hivi sasa wife kasafiri siku ya tatu leo na kaniacha na mtoto miaka miwili, dada ndo anashughulika nae kwa kila kitu. Kwa kweli wapewe maua yao.
Najiepusha sana...
Habari wanajamvi?
Tukiwa tumebakiza siku takribani 15 kupindua mwaka, kuongeza thamani ya upendo miongoni mwa member JF.
Taja memba yoyote unayempenda mpe na sifa yake na cheo
Mimi naanza hapa👇...
Naam wana JF, katika maisha yetu ya kila siku huwa tunakumbana na mengi sana ambayo yanaweza kukufanya umpende au kumchukia mtu flani kwa sababu amekutendea hiki au kile na wakati mwingine hutokea...
Miaka mitano hadi Saba iliyopita kulikuwa kuna "interviews" za wanachama maarufu hapa JF.
Ambapo wanachama wangemuuliza maswali "host"
Maswali mbalimbali kumhusu na "Host" anajibu vizuri tuu...
Habari za jioni Wana JF,
Nimegundua watumiaji wa iPhone asilimia kubwa Wana ushamba na ulimbukeni.
Yani akiwa nayo atataka watu waione wajue kama ana iPhone, ulimbukeni wenyewe ni huu huwa...
Habarini wapendwa,
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
Kila nchi ya Afrika uwa ina vitu vyake fulani hivi ambavyo ukisimuliwa unajua moja kwa moja hii ni Nchi fulani... Mfano
Ukizungumzia Somalia unazungumzia Pirates (Mabaharia wezi), kazi yao kuteka...
Kwako mpendwa,
Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.
Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata...
Njiwa🐦 peleka salamuu kwa yule wangu muhibu 🥰
Umueleze, afahamu... yeah ndio wangu wa kuzikana...😇.
Hali yangu hamuhamu, Mahaba yamenisibuu..
Mchana kutwa nachekaa (tabasamu), na yeye ndio...
Asubuhi na mapema baada ya kuamka, mtoto anamfuata mama yake kwa bashasha.
Mtoto: Shkamoo mama
Mama: marahaba hujambo
Mtoto: sijambo mama.
Mtoto: Mama kwani tumenunua gari?
Mama: kwanini...
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.
NB: Najua tutaachana🙄...
Kupendeza hasa unapotoka ni katika namna ya kuisherehekea, mim nitatokelezea kwa namna hii( T-shirt nyeupe, surual ya kadeti na raba nyeupe).
Vip kwako, mtoko upi utatokelezea nao..?
● Anapekuapekua simu yake
● Amejichomeka visikiliza masikio (earphone) anasikiza mambo mengine
● Nayeye anaongea na mtu mwingine
● Anakuongelesha wakati hujamaliza kuongea (wewe unaongea na...
Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..?
Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan.
Funguka Mkuu..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.