DADA WA KAZI ANATAKA KUONGEZEWA MSHAHARA
House girl alitaka kuongezewa mshahara, lakini mama mwenye nyumba akataka apewa sababu 3 za house girl kutaka kuongezewa mshahara:
DADA: Ninaweza kupika...
Habari ndio hiyo,
kila siku napishana na magari katika mji Wenye msongamano wa watu na kila kitu, kisa tu eti kila kitu kipo huku?
Joto nalo usipime, umbea wa hapa kila siku kuna toleo jipya la...
Kijana usikimbilie kuoa eti kwasababu rafiki zako wameoa au unapata shinikizo toka pande fulani!Kumbuka kuoa kuna mambo haya [emoji111] kupata au kupatikana ukipata hakuna tabu hapo ila...
"...zero yaan, yule bwana,...yule kiumbe, akazungusha zero yaan, sio IV zero yaan...." - Gwajima
Dah huyu Gwajima ni babayake Mange? Maana kwa vijembe hatari sana, sishangai mh Bashite kwenda...
Pale mtangazaji anapocheleweshewa mshahara utasikia "Taarifa hii ya habari inakujia kutoka MAMBO TV. Habari kamili...Mbeya....Serikali IMEBINU MBUNI...kumradhi...IMEMBINU...
Sio uzee wala nini. Nimejikuta na log in kwenye ankaunti yangu ya JamiiForums baada ya muda mrefu, najikuta naona mapichapicha.
Kuna mabadiliko mengi humu dah! Nahisi kutakuwa kwa moto sana...
Huko instagram,
unakuta mtu anakutaka friend request,
humjui na hayuko kwenye list ya friends zako,
na wengine wanaenda mbali,wanaweka mapicha ya wahindi,au ma actors
shtuka ni li EX lako...
Unajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona...
*Nilichogundua ni bora usutwe na wadada wacheza vigodoro kuliko kusutwa Na Gwajima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Haleluuuuuyaaaa
Dr Slaa mpaka Leo hajulikani alipo
Unamtongoza Demu kwa meseji150
na humpati...
Halafu linatokea zee moja na meseji
yake moja tu ya tigo pesa linampata... Ndo utakapokumbuka kujaza
*booklet* kwenye mtihani sio kupata
"A".
FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated...