JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani...
7 Reactions
97 Replies
5K Views
Nataka kujua dawa ya mtu anayekuchukia na akiwa na shida anaomba msaada kwa kifupi mahaters wanakunja sana [emoji57]
1 Reactions
1 Replies
982 Views
Hii ibada ya leo. Mbona mama Mchungaji anairudia sana hii nyimbo ya "SIMBA WA YUDA ANANGURUMA"?? Halafu Mzee wa Kanisa HAIMBI??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]
1 Reactions
3 Replies
883 Views
Ila kina Lissu nao wana maswalii duuu Lissu:Umesoma Shahidi:Ndio Lissu: Una uelewa wa kidogo wa mambo ya sheria? Shahidi: Mi hayo mambo ya sheria za mahakamani sijui,maana nilisoma Physics...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa miaka kadhaa ambayo nimekuwa member wa JF nimeweza kuexperience mambo yafuatayo;- 1. Anacho komenti mtu wa kwanza kwenye post maranyingi huwa ndio msimamo wa wengine wanaofatia kukomenti (...
36 Reactions
156 Replies
9K Views
wakuu,wakuu,naskia mademu wengi wanaokua online mpaka mida hii wanakuaga na stress,lonely au single mana alienabwana hawez kuwa online mpaka mida hii...... nawaona nawaona kina naniu nimewaona...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Leo asbh nimepoteza elfu sitini....! Yaaan nahc kuugua malaria....![emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji30] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
0 Reactions
4 Replies
579 Views
Naona sasa maswali ya Tundu Lissu kwa mashahidi mahakamani yanaanza kutrend kama quote za Robert Mugabe mitandaoni. Kama unaweza tunga maswali ya Tundu Lissu atakayomuuliza shahidi mahakamani na...
8 Reactions
32 Replies
8K Views
nasema hivo kutokana na baadhi ya thread zilizoandikwa na kuchangiwa miaka 3 au 4 nyuma uko asilimia kubwa ya waandishi na wachangiaji wa hizo thread saiv hawaonekan wakianziasha au kuchangia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Huu mi naona ni wizi kabisaaaa......leo wacha niseme bwana Nimejiuliza sana bila kupata majibu.....kwann kuna tyndu katikati ya donati?? Huwa linanikera na naona kama ni kupunjana kabisa. Hebu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
wadau nishaurini nifanyaje mpaka sasa nina watoto 30 watano wapo nchi za nje na mama zao huko uk nlipoenda likizo,kumi nliwapata 1999 wakati nikiwa dereva wamalori.na hawa 15 walobaki watano wapo...
0 Reactions
83 Replies
4K Views
*Tangu ninunue blender* Maisha ni simpleeee.....[emoji106] Asubuhi nikitaka Uji naweka maji moto nadumbukiza ugali wa Jana.... *Uji tyari*[emoji108][emoji818]...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na matukio mbalimbali, ni jina gani unaweza kuupa huu mwezi wa 2 ambao uko ukingoni. Karibuni.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Amazing Fact [emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni [emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini [emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu. Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi). Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Miaka ya 70 ilikuwa ni desturi kwa wanafunzi wa sekondari kuongea kiingereza wakati wa LIKIZO KUONYESHA KUWA NI WASOMI.Jamaa mmoja alipoambiwa anajikweza mno wakati ni form 1 akajibu "You what...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
cnn
kazi kazi kazi kazi kazi kzi kazi kazi till dawn
0 Reactions
4 Replies
656 Views
Back
Top Bottom