Habari wanaJF na wanaChitchat kwa ujumla wake.
Kama familia moja inapofika usiku ni kawaida kutakiana njozi njema na usingizi mwema huku tukimuomba mola atuepushe na hila zote za mwovu shetani...
1.wavivu wakufikifiri na kuchanganua mambo kila kitu wanataka watafuniwe hata kama wanakiona wazi basi hukosa kujiamini mpaka mtu awasamee,mtu anaweza akaja na quote kutoka kitabu flan ila sababu...
Kwa wale waliowai kuishi mbeya au wanaishi now ningeoenda kujua hali halisi ya jijini humo .Jamii yake ipoje ,upatikanaji wa chakula upoje,watu wanaishije kijamaa zaidi au kila mtu na mambo...
Nimeona baadhi ya watu wameweka hii profile picture... Sio mtu mmoja ni watu kadhaa. Je hii ni movement mpya kama ile ya Makapuku forums au? Kwa nini wote waweke picha inayofanana?
Je nikitaka...
[emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni
[emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini
[emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye huruma zaidi na...
Asalaam Aleykyum,
Nina tamani tena nina shauku kubwa kuona thread ya Mrembo huyu (nina uhakika na urembo wake) ikisema:-
"Niulizeni swali lolote nitajibu"
Hii ni kufuatia kujitolea kwa baadhi...
Habari wapendwa!
Kuna muda kadiri mambo na matukio mbalimbali yanavyoendelea mtu unatamani kama ungekua kama mtu fulani/cheo fulani/fani fulani.
Mimi naanza kwa kusema
I WISH I COULD BE A "LAWYER"
Examining a female patient brutally beaten by her husband, Doctor tells her: “Your heart, lungs, pulse, BP are fine. Now let me see that cute little thing which gets you ladies into all kinds of...
Hatimaye yule kamanda fake a.k.a Dj yupo mikononi mwa makamanda wa ukweli a.k.a jeshi la polisi la Tanzania. Pamoja na kujificha koote, ila kadakwa kwenye kichocholo alikokuwa kajificha.
Alipenda...
Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the world chear up, ulivyokuja ulimwenguni. Congratulations the Most Beautiful Woman!!
Yaaah we are happy for u! Hongera sana kwa kutimiza...
my wife 'Valentina'
I miss you when something really good happens, because you're the one I want to share it with.
I miss you when something is troubling me, because you're the only one who...
Hello guys mko poa..
Habar za mihangaiko ya siku nzima
Ok, kama kichwa cha mada kilivyo jieleza. Nadhan wengi humu kunawatu mnawapenda haijarishi ni kimapenzi au kiurafiki so deal lipo hivi...
Hongereni sana na mzidi kuwa wema na makini hivyo hivyo kwani ningeshangaa sana kama kuna Member humu anatumia dawa za kulevya au Bangi na hata kunywa Gongo ila bahati nzuri wote tuko safe.
Kila...
Jamani Leo nimeenda dukani kununua UNGA wa Ugali chakushangaza bei nikaikuta kilo Tsh 2000/=, nikauliza mchele je nikajibiwa Tsh 1800/= Duu unga bei juu zaidi ya mchele ??? Tola lini mambo haya...
Kama umekaa kwa miaka mingi town utaona kabisa wahuni wamepungus sana, Kwenye kundi la wahuni kuna wababe wa mtaani, vibaka, matapeli, n.k Zamani kesi za vibaka zilikuwa nyingi sana kuzidi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.