Kati sisi MADOMO ZEGE na wale wenzetu wengine wa TIT FOR TAT! Huwa mnapenda wanaume wa aina gani? Sina mengi Jamani nimeota Nimeulizwa ndotoni hili swali,Narudi zangu kulala.....
habari ndugu zangu
tupenane utaalam kidogovna bei za mahindi huko kwenu sisi kwetu saiz mahindi yamefikia 600 kwa kilo ila wakulima bado hawajavuna wakivuna nadhani yatapungua bei[emoji12]
TUKUMBUSHANE jamani siyo ugomvi!
NAKUMBUSHA TU TULIOZALIWA MIAKA YA 1980's
Mwaka Umri
1980 37
1981 36
1982 35
1983 34
1984 33
1985 32
1986 31
1987 30
1988 29
1989 28
Mdogo kabisa hapo ni mwenye...
Nimeingia kwenye mgahawa mmoja kupata chakula cha usiku ni miongoni mwa ile migahawa yenye vioo vya kufugia samaki wa marembo (Aquarium) sasa nikiwa nasubiria chakula nikawa natupa macho huku na...
kwa mfano umekuja uko club ama bar anatokea mshkaj anajidai anakufaham unampa bia moja.. wewe uko na dem wako hapo... kale ka bia bas anakanywa halaf anaanza kumshika shika dem wako kiuno...
TOFAUTI KATI YA MKE NA MCHEPUKO. [emoji23]
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.
Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na...
Nipozangu FB. nimemskia Baba Nje Akisema, Ivi We Mama TINNO! hicho Chumba Cha Tinno Ningelikua Nimepangisha Siningelikua Napata Hela??
Leo Nalala Kibishi Ili Nikaangalie Msimamo Wake Kwa Kesho...
>>Mate ya binaadam yanaweza kuwa sumu.
>>Mwanamke ni kiumbe kipole kupita vyote na ni kiumbe kikatili kupita vyote. (Binaadam)
>>Chakula kinachukua sekunde saba kufika tumboni.
>>Unapo fariki...
Jana mpenzi wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki 8 nikamuuliza wapi akaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akaniambia nimpe laki 4 na yeye ana laki 4 akanunue simu...
MKE NA MCHEPUKO.
Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.
Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu.
Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako.
Tv ni bure...
Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8 nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine...
Kila nikitaka kutoka huku mikoani kuja Dar es salaam, naiona dar es salaam imewekwa matuta na Viongozi. Yaani siwezi kupita mpaka matuta yatoke.
Duuuh.....wachawi bwana wana visa hasa.
Deogratius...
Na ili jua lilivyo kali, naagiza kuku mbuzi kiroho safi.
Nikukuona mwenzangu na mie nakuagiza unga wa Azam kilo 5 mpaka kumi, au tembele original kabisa.
Kama wewe kibopa nakuagiza ng'ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.