Sabakher wadau;
Tuliosoma Bihawana Boys Tukutane Hapa!
Mi nilimaliza A LEVEL Pale PCB Mwaka 2011! Darasa La Karibu Na Bweni La Soweto!! Nilikuwa Nalala Mandela! Bweni La Wapenzikaji!! Kuja Hapa...
Wakuu nawasalimu,
Yawezekana Kichwa cha habari Kimekuvutia mno na ndio maana Uko hapa si ndio? Lakini siwezi nikashangaa Uwepo wako hapa katika post hii kwa kua wewe ni mmoja wa Hawa nitakao...
Naomba members wa Skauti waliomo humu tufahamiane au ulishawahi kupitia Skauti
Yogoooo yogi yogoo
Impizaaaaaa
Skaut alino
Skauti c mjinga na mjinga c skauti
Leo nimechoka zangu alafu shangazi
amekuja anataka nimuunganishe
facebook.
Imebidi nimwambie lazima awe na
picha passport size 4 kwaajili ya
kuweka profile picture, Barua kutoka kwa afisa mtendaji...
Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa me born town. Nimenunua Kwake karanga za 100 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu.
Basi ameniomba...
Do u know that marriage is the cheapest way of having sex? According to me. U pay 2m mahari once off and you stay with the woman for 20 years which is 240 months. Meaning per month its going to...
Bwana mmoja alisafiri kwenda kijijini, alipofika akakuta mtandao wa simu unapatikana bila matatizo. Akamwandikia mke wake sms. Kwa bahati mbaya akakosea namba na ikamwendea mtu mwingine ambaye...
Kitambo nilitoweka hapa,
Nipo, chotara mie kuna yaliyonikumba nimewakumbuka MMU, long time sana.
Jana nimetoka ofcn nikapita kula madafu agakhan si nikakutana na Yahaya..... nikauchuna...
Habari
nitakungulize SAMAHANI kwa nitakayo yaandika hapa.
tangia nianze kujua mapenzi niliyekuwa wa kwanza kumbanduaga alikuwa chakudoa nikiwa na miaka 24 sasa nina 26. niliajiriwa mwaka 2013...
Tarehe kama ya leo,Jumanne ya tarehe 16 mwezi Februari mwaka 1982 nilizaliwa.
Nikitimiza miaka 35 leo,namshukuru Mungu kwa yote ninayoyapata,kuyasikia na kuyaona. Nawashukuru,ingawa wote ni...
Mzee safiri tena basi kwenda nje ya nchi ili mvua inyeshe. Mzee ukamee umezidi, nenda basi hata China ukaangalia mashamba ya vitunguu! Maana daah, nakumbuka ulivyosafiri kwenda nje ya nchi, huku...
Nimejibanza kona hapa Bar mmoja huku kwetu kwa mama zakaria kwa Taarifa tu ya kimbea meza nyingi zinapendezeshwa na mzinga wa konyagi mmoja glass na viroba vya kutosha wajengaji wa Taifa hili...
Hili eneo lishaandikwa utani/jokes lakin mtu akituma utani eti unacomment hajielewi.
kama hupendi utani usije huku au tatizo lipo kwenye kuelewa maana ya utani?
utakuta mtu kaandika kichekesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.