Wakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani...
Hii ibada ya leo.
Mbona mama Mchungaji anairudia sana hii nyimbo ya "SIMBA WA YUDA ANANGURUMA"??
Halafu Mzee wa Kanisa HAIMBI??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12]
Ila kina Lissu nao wana maswalii duuu
Lissu:Umesoma
Shahidi:Ndio
Lissu: Una uelewa wa kidogo wa mambo ya sheria?
Shahidi: Mi hayo mambo ya sheria za mahakamani sijui,maana nilisoma Physics...
Kwa miaka kadhaa ambayo nimekuwa member wa JF nimeweza kuexperience mambo yafuatayo;-
1. Anacho komenti mtu wa kwanza kwenye post maranyingi huwa ndio msimamo wa wengine wanaofatia kukomenti (...
wakuu,wakuu,naskia mademu wengi wanaokua online mpaka mida hii wanakuaga na stress,lonely au single mana alienabwana hawez kuwa online mpaka mida hii...... nawaona nawaona kina naniu nimewaona...
Naona sasa maswali ya Tundu Lissu kwa mashahidi mahakamani yanaanza kutrend kama quote za Robert Mugabe mitandaoni. Kama unaweza tunga maswali ya Tundu Lissu atakayomuuliza shahidi mahakamani na...
nasema hivo kutokana na baadhi ya thread zilizoandikwa na kuchangiwa miaka 3 au 4 nyuma uko asilimia kubwa ya waandishi na wachangiaji wa hizo thread saiv hawaonekan wakianziasha au kuchangia...
Huu mi naona ni wizi kabisaaaa......leo wacha niseme bwana
Nimejiuliza sana bila kupata majibu.....kwann kuna tyndu katikati ya donati?? Huwa linanikera na naona kama ni kupunjana kabisa.
Hebu...
wadau nishaurini nifanyaje mpaka sasa nina watoto 30 watano wapo nchi za nje na mama zao huko uk nlipoenda likizo,kumi nliwapata 1999 wakati nikiwa dereva wamalori.na hawa 15 walobaki watano wapo...
*Tangu ninunue blender*
Maisha ni simpleeee.....[emoji106]
Asubuhi nikitaka Uji naweka maji moto nadumbukiza ugali wa Jana....
*Uji tyari*[emoji108][emoji818]...
Amazing Fact
[emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni
[emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini
[emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye...
Leo nimepata ufunuo baada ya kupata mboga zetu zile za majani.Kwamba mzee Bob hakuwa mwenzetu.
Ni dhahiri baba yake alikuwa ni muingereza(mwanamaji/mjeshi). Pia Bob ni mfuasi hai wa Haile...
Miaka ya 70 ilikuwa ni desturi kwa wanafunzi wa sekondari kuongea kiingereza wakati wa LIKIZO KUONYESHA KUWA NI WASOMI.Jamaa mmoja alipoambiwa anajikweza mno wakati ni form 1 akajibu "You what...