JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tokea jamaa aondoke juzi kati mvua zimepiga sana!! Sasa karudi sijui mvua zitakata?? Daah bora angebaki huko huko!!!
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Sabakher wadau; Tuliosoma Bihawana Boys Tukutane Hapa! Mi nilimaliza A LEVEL Pale PCB Mwaka 2011! Darasa La Karibu Na Bweni La Soweto!! Nilikuwa Nalala Mandela! Bweni La Wapenzikaji!! Kuja Hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu, Yawezekana Kichwa cha habari Kimekuvutia mno na ndio maana Uko hapa si ndio? Lakini siwezi nikashangaa Uwepo wako hapa katika post hii kwa kua wewe ni mmoja wa Hawa nitakao...
1 Reactions
42 Replies
13K Views
Hivi kweli mtoto kama huyu unataka awe wako peke yako? You can't be serious kama hutaki kufa kwa pressure!
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Naomba members wa Skauti waliomo humu tufahamiane au ulishawahi kupitia Skauti Yogoooo yogi yogoo Impizaaaaaa Skaut alino Skauti c mjinga na mjinga c skauti
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, Barua kutoka kwa afisa mtendaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa me born town. Nimenunua Kwake karanga za 100 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu. Basi ameniomba...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Do u know that marriage is the cheapest way of having sex? According to me. U pay 2m mahari once off and you stay with the woman for 20 years which is 240 months. Meaning per month its going to...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Bwana mmoja alisafiri kwenda kijijini, alipofika akakuta mtandao wa simu unapatikana bila matatizo. Akamwandikia mke wake sms. Kwa bahati mbaya akakosea namba na ikamwendea mtu mwingine ambaye...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimetoka Dar sasa hivi nipo Dodoma kwa muda mfupi, nimefika jana. aliye pande hizi ajitokeze tukajidai
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Kitambo nilitoweka hapa, Nipo, chotara mie kuna yaliyonikumba nimewakumbuka MMU, long time sana. Jana nimetoka ofcn nikapita kula madafu agakhan si nikakutana na Yahaya..... nikauchuna...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari nitakungulize SAMAHANI kwa nitakayo yaandika hapa. tangia nianze kujua mapenzi niliyekuwa wa kwanza kumbanduaga alikuwa chakudoa nikiwa na miaka 24 sasa nina 26. niliajiriwa mwaka 2013...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Nawatakia usiku mwema wajumbe wote wa JF. Nawaombea kwa Mungu, kesho muamke asubuhi mkiwa mnafanana na kile ulichoweka kwenye avatar yako.
1 Reactions
1 Replies
560 Views
Tarehe kama ya leo,Jumanne ya tarehe 16 mwezi Februari mwaka 1982 nilizaliwa. Nikitimiza miaka 35 leo,namshukuru Mungu kwa yote ninayoyapata,kuyasikia na kuyaona. Nawashukuru,ingawa wote ni...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mzee safiri tena basi kwenda nje ya nchi ili mvua inyeshe. Mzee ukamee umezidi, nenda basi hata China ukaangalia mashamba ya vitunguu! Maana daah, nakumbuka ulivyosafiri kwenda nje ya nchi, huku...
4 Reactions
2 Replies
964 Views
Nimejibanza kona hapa Bar mmoja huku kwetu kwa mama zakaria kwa Taarifa tu ya kimbea meza nyingi zinapendezeshwa na mzinga wa konyagi mmoja glass na viroba vya kutosha wajengaji wa Taifa hili...
1 Reactions
6 Replies
937 Views
Hili eneo lishaandikwa utani/jokes lakin mtu akituma utani eti unacomment hajielewi. kama hupendi utani usije huku au tatizo lipo kwenye kuelewa maana ya utani? utakuta mtu kaandika kichekesho...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Simulizi na watunzi,mana nmejitahid kutafuta bado sijaona,anaejua anifahamishe:(
1 Reactions
9 Replies
586 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…