JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwako LE MUTUZ a.k.a le akili kubwaz... Husika na kichwa cha habari hapo juu..ni mimi mshkaji wako na shabiki wako mkubwa kwa jina naitwa dume suruali ukipenda unaweza niita 'Le dume surualiz'...
24 Reactions
112 Replies
20K Views
Wadada wengi huwakimbia wakaka wanaojali wasio na uwezo mkubwa wa kifedha na kuwafwata wenye pesa hata kama hawajali...baadae wakitendwa na wenye pesa hurudi kwa wanaojali kufarijiwa...maumivu...
1 Reactions
4 Replies
727 Views
kuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni . ahahaaa
3 Reactions
29 Replies
2K Views
leo nimefua vishuka vyangu kabla havijakauka na mvua nayo ikaja kuharibu..sasa hivi nimerudi ili nianue nakuta ndo kwanza vinavuja maji. naona kila dalili ya kutoa pazia mlangoni ili nijifunike...
1 Reactions
8 Replies
976 Views
BABA: mwanangu mbona skuizi wapenda niita DAD badala ya BABA BINTI : kuita baba kunamaliza lipstick [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
“Kichekesho cha msichana wa kazi za nyumbani na mama mwenye nyumba juu ya vijiti vya kusafishia meno. jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vyote vimeisha...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za leo natumai wote ni wazima. Mimi ni member mpya humu lakini kuna jambo limenitokea na nikaona ni bora nika share hapa jambo lenyewe ni kuwa tangu nijiunge jamii forum kuna member...
6 Reactions
141 Replies
11K Views
Habar wadau, Sanaa ya utengenezaji matangazo ya biashara Sasa hv imekua Sana na hata nchini kwetu si haba imeboreka Sana. Zamani matangazo ya biashara katika TV au redio ilikuwa ni kero kubwa...
0 Reactions
100 Replies
10K Views
Husika na tittle hapo juu, Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani? Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi...
2 Reactions
201 Replies
12K Views
Wapenzi wanachitchat, salamu katika bwana! Yule miss wenu wa mwezi septemba ndio anakamilisha muda wake, hivi karibuni atakabidhi taji kwa mwingine Kama sio Madame B. Ikumbukwe kuwa wakati...
2 Reactions
101 Replies
5K Views
Kuna jamaa alikuwa akikatisha mitaa maeneo ya makaburini,ghafla akasikia sauti za wadada wawili nyumu wakisema kaka tunaomba tusaidie kuvuka hapa makaburini tunaogopa. jamaa alishtuka kidogo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
katika mikoa yote dodoma nimekutana na watu wacheshi kuliko.
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Good people Nahitaji watu 4 kwenda nao Mtwara kikazi kwa siku 3. Usafiri,chakula na malazi vyote vinatolewa na kampuni. Ni kampuni kubwa inayo jihusisha na uchimbaji wa gesi asilia. Ni kuanzia...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Madongo yake yote hua anayapata....
13 Reactions
343 Replies
41K Views
voda vocha 10023954031079___ voda buku malizia namba moja wakwanza zawadi kwake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
```Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Hii ni thread huru kwa yeyote kuandika maneno ya pumba aliyowahi kukutana nayo lakini ukiyatafakari unaona yanaleta maana fulani katika jamii ya leo. Mimi naanza na niliskia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
helooooooo,hope hamjambo kama tunavyojua jamii forum members ni sawa na ndugu, nipo arusha kikazi tangu juzi,kesho naondoka zangu kama kuna Jf member wa kike yupo arusha aniPM leo tukutane jion...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SERA YA MAPENZI kwa vipindi tofauti..! MIAKA YA: 1986-1990. Ukimtongoza binti, alikuwa akijibu "NIMEKUBALI ila usimwambie mtu..!" MIAKA YA: 1991-1995. Walikuwa wakijibu "NIMEKUBALI lakini...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…