JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aisee tembea uone jamani yaaani mpaka nashindwa kusabahi hapa kutokana na hili jukwaa letu pendwa la cc yaani kumeshaingiliwa humu wewe uliona wapi mauzi ya mmu yakaingiliwa huku yaani bagalashala...
2 Reactions
8 Replies
978 Views
Wakuu kunaMwanamke ana mtoto na ananyonyesha na bado mtoto bado hajaanza kutembea ila anatambaa na kunyanyukia vitu Sasa nikitaka Kufanyanya naye tendo la ndoa anadai kwamba lazima nitumie mpira...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
1. Prof. mshana jr 2. mtu mzito 3. Jazia wengine...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nakumbuka enzi za nokia ya tochi ikifika night kali karibu watu wote wamelala na hakuna wa kuchat nae wala wa kumpigia hivyo na wewe inabidi ulalae tu labda uwe na jambo la msingi la kufanya...
1 Reactions
1 Replies
757 Views
Habari zenu wakuu..! Kuna mambo ambayo sisi binadamu (hususan wabongo) tunapenda kurahisisha mno hata kama ni magumu katika uhalisia, ingawa ni kweli kwa mtazamo wa haraka haraka huonekana ni...
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Jamaa mmoja aliyekuwa amefungwa kwa kuonewa alikula mchongo na mzikaji wa gereza jinsi ya kumtorosha. Basi wakakubaliana kuwa siku jamaa akisikia kengele ya msiba pale gerezani basi akimbilie...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
_*World's*_*poulation*_ _*statistics*_ TOTAL poulation:7.8 billion people WOMEN:5.6 billion MEN:2.2 then 1 billion MEN are married 485,561 MEN are in jail,sober house and mental retard...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa anawakumbusha wanaume wote wasisahau ile ahadi waliyo discuss kua leo valentine day wanaume wote wazime simu hadi hapo valentino day itakapoisha... kaniambia niwakumbushe, asanteni sana kwa...
0 Reactions
4 Replies
793 Views
Ni kiza kinene kimeingia na kama kawaida ilivyo kwa wanachaputa ni mwendo wa kutia dole kwenye mafuta ya vaseline ya mgando ili uzitoe stress zako na kujipa raha. Game limekolea, Umetia...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Binafsi ni moja wa watu niliowahi kuexperience kufungiwa selo, Niliwekwa lock up Police central pale Arusha, Nlivyofika niliingia chumba kidogo cha kutoa maelezo ya kesi na kuhifadhi vitu...
11 Reactions
128 Replies
8K Views
*Nakumbuka mitihani ya Darasa la saba ilikuwa inaanza kama utani utani hivi* 19+87= 219-45= 12x34= 59÷7= Halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita au la saba hivi...utajutaa!! "Ndege inatoka...
30 Reactions
180 Replies
21K Views
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula cha usiku, unataka kutoka kwenda kujisaidia, kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebuleni (ukumbi) kipindi unajaribu unapapasa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
1 Reactions
5 Replies
709 Views
Salaam wana JF. Wilaya ya Ukerewe ni kisiwa chenye hazina ya wasomi kibao ktk nyanja tofauti tofauti! Hadi mwaka 2005 kulikuwa na Ma-Professor takribani 65 ukiacha wachache kama Prof. Machunda...
0 Reactions
51 Replies
15K Views
WA pweza?
1 Reactions
0 Replies
902 Views
Habari. Natafuta rafiki wa kiume (awe na miaka 32 na kuendelea) kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Mimi ni wakike miaka yangu 32. Aliyetayari PM tafadhali
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari kwenu wana Jamii forums. Miaka ya 2007/8 kuna jamaa kutoka Italy alikuwa ana hit sana kwenye mitandao ya kijamii kuanzia Global publisher,Michuzi na Bongo celebrity,nakiri yeye ndio...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna Mwafrika alipanda ndege na kukaa karibu na mzungu ambaye anasafiri na nyani wake,jamaa mara akaenda chooni kurudi akakuta mfuko wake ulikua na ndizi uko mtupu, akamuuliza yule mama wa...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom