*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!
TAARIFA KWA UMMA.
Kwa wote waliokosa mikopo....Mikopo yenu Imeshatoka na imemwaga kama inavyoonekana hapo chini
CCM OYEEE
#Uchawi_ukiamua_kuja_Unakuja_tu.......
Embu Fikiria upo zako unatembea unakutana na binti Mrembo Halafu upepo mkali Unakuja na kumfumunua yule binti gauni lake, lakin upepo huo huo unakuletea...
Wanaitana central kwa upendeleo, yaan nchi hii kama huna refa hakuna atakayekuona, lakin poa tu maisha yanasonga.....!!!!! (Nmemkuta teja mmoja akilalamika)
Wanaitana central kwa upendeleo, yaan nchi hii kama huna refa hakuna atakayekuona, lakin poa tu maisha yanasonga.....!!!!! (Nmemkuta teja mmoja akilalamika) c&p
***KWA WATUMIAJI WA MTANDAO WA WHATSAPP****
Whatsapp haina siri tena. Fahamu Jinsi ya kusoma sms kwenye akaunti ya rafiki yako whatsapp
1. Search jina la rafiki yako toka contacts zako
2. Nenda...
Ni saa sita za usiku sasa bado Jaji Hyera yuko sebuleni akiendelea kupitia kitabu chake cha sharia. Katika meza ndogo kulikuwa na vitabu vingine zaidi ya saba vya sheria.Aliendelea
kufungua...
habari zenu wana JF!hope weekend ilkua poa kama haikua poa kwa upande wako pole sana.
binadam tunatofautia uelewa,upembuzi na ujuzi wa mambo... itakua vizuri ukitueleza kile unacho kijua kuhusina...
Habari zenu.
Wakuu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alizaliwa kijana wenu shupavu kabisa YOUNGBLOOD.
Namshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo,lakini pia nawatakia...
Jamani wana JF,
Mimi nilimtokea mtoto mmoja mkali kinyama na kiukweli ata yeye huaga ananikubali kidizaini flani hivi amazing. Ila tangu nimemtokea sasa wiki imepita sijapata jibu nikimwambia...
Kuna baadhi ya wasanii Kule INSTA wamepunguza kupost habari zao sijui wana mawazo gani.
Tulishazoea kila muda kuona matangazo yao Mara napiga shoo CANADA Mara tarehe flani nitakuwa GERMANY Mara...
imeandikwa na Abu bin seydun
Familia ya Beaumont ya watoto watatu ambao ni Jane Nartare Beaumont (alizaliwa 10 mwezi wa tisa1956), Arnna Kathleen Beaumont (Alizaliwa 11 mwezi wa kumi na moja1958)...
Kutokana Phase two list ya mheshimwa wa mji
Nimekaa nmewaza tu hapa na hii njaa yangu ya mchana huu kama wewe ni mshabiki kindaki ndaki wa Chadema, Team yako ni Dar Young African na Kanisa lako...
Week hii jamiiforums imekuwa na wachangiaji wengi sana, kila mtu yupo makini kupata taarifa muhimu za hapa na pale na episode kadhaa zinazoendelea nchini, matusi hayatakiwi na lugha za kuwaudhi...
Kati ya yote ulopita sijaona la kunifanya nisikupende
Mm si tajiri ila ninauwezo wa kukupa furaha na amani
Na zawadi yangu kubwa kwako in penzi la dhati na nakuahidi sitafanya jambo la...
Habari zenu wana jf.
Tafadhali naomba kama mtu anayeweza kuwa na tangazo fulani, nadhani ni la mfuko wa kijamii.
nililisikia kipindi fulani redioni lakini sasa hivi silisikii tena.
Anayeweza...
wanajukwaa kwanza kabisa heshima yenu,
Namshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kufikia mwaka mwingine wa maisha
pia nawashukuru wanajamii wenzangu kwa michango yenu ya akili na ujuzi tunaopeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.