Iv inakuadje mnapanga mipango mingi ww na demu wko then mwixho wa cku ata mpango mmoja haujakamilika anakuja Kukuambia kwmb fanya yko wala ucmfikilie iv n nn cha kufanya?!
saizi huwezi kujua nani guilty na nani yuko clean,katika vita hii ambayo inahusisha watu wa kada mbali mbali inaweza ikabadili uso mzima hata wa siasa za bongo
kwenye zike Movie za Mafian watu...
*Adam na Eva wangekua wachina dhambi isingekuwepo maana badala ya kula lile tunda[emoji519] wangemla na yule nyoka [emoji216]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja ni cheke kwanza     Leo nilikuwa nipo nawasiliana na bosi wangu kupitia sms sasa kuna jina nimemsevu sasa kila nikisearch naona linakuja group la the bold simulizi ikibidi nitoe macho ...
Habari wakuu wa jukwaa!
Leo nimemkumbuka member mmoja maarufu sana hapa jukwaani, ni kama miaka miwili yuko kimya, sioni tena mabandiko wala komenti zake. Wale wazee wenzangu ambao mmekuwepo mda...
Wiki iliyopita nilifika hapo mjini nikitokea kwetu huku Namtumbo,
miaka kadhaa nilikuwa sijafika hapo mjini, ukweli vingi vimebadilika sana ,barabara majengo ,marefu hata usafi baaadhi ya maeneo...
Kupiga picha umezungukwa na chupa karibia 50 za pombe.
Kupiga picha umezungukwa na....
Kupiga picha kwenye Hoteli kubwa kubwa za kisasa
kupiga picha unahesabu pesa nyinginyingi/dollar.
Ongeza na...
Aisee kuna siku kichwa kilinigonga hayo maumivu yake sio ya mchezo, Yani nlikiwa nahisi pfunk anapiga nyundo kichwani .....
Tupe experience yako kuhusu maumivu uliyoyapata, chanzo na hali...
Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwangaaa....[emoji250]
Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35]
Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51]
Kukenua...
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka...
Siku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida...
Habari za kazi wanajamii wenzangu!!??? Mim Nina muda mwingi katika mahudiano na wasichana mbalmbal cha ajabu huwa nawashangaza wasichana pale tunapokuwa tunagegedana huwa nimevaa nguo zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.