JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naona famasi za huku kwetu hawaandiki tena duka la madawa eti wanaandika duka la mtu anaeumwa. makonda bwana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Je wana jf naomba kujua je ninaweza kwenda polisi kuomba kuuona unga live ili siku nikiuona live nikaripoti polisi Yani kiufupi Mimi cjawahi kuuona sasa je naweza kwenda polisi nikaomba...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
No matter how sweet is sexual intercourse... you can't ejaculate while smiling
2 Reactions
0 Replies
778 Views
99% ya wanaume hushika tupu zao wakati wa kukojoa, asilimia 97/99 kwa mkono wa kushoto. Na asilimia 98/99 hawanawi mikono baada ya kumaliza
0 Reactions
1 Replies
583 Views
wakuu huu ni uzi maalum wa kusema chochote kile kutoka ndani ya miyo wako, inawezekana hujapata nafasi ya kuyasema popote pale.... tiririka
1 Reactions
42 Replies
3K Views
habari zenu .... huu mkasa umenikuta Jana nlipotoka town ambapo nilikuwa na mshikaji wangu tunatandika masanga tuliangusha bapa au lusekelo kubwa tatu mpaka mida ya SAA tano kasoro tukaagana mzee...
13 Reactions
33 Replies
6K Views
Kuna watu ukiwapunguza kwenye maisha yako ata mungu anakubariki.. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
4 Replies
788 Views
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar"...
1 Reactions
1 Replies
835 Views
Eti Makonda.!
4 Reactions
11 Replies
3K Views
*Vuta picha ww ni mwanachama wa Yanga. Unaipenda Chadema kindakindaki halafu unasali kwa mchungaji Gwajima* [emoji23][emoji23][emoji23] *My friend Mungu akutie Nguvu* ~benglasis
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukibisha acha.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar"...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
watu wa Dar kwanini mnapenda kubeba zawadi ya mikate mkienda mikoani? nilijua siku hizi mmeacha lakini kumbe mnaendelea. wote mnabeba mikate utafikiri mmeambizana. mbaya zaidi ikifika na nyie...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau mwenye nyumba wangu kaweka tangazo eti marufuku mtu kupiga makelele pindi wawapo sita kwa sita jamanii huu ni uonevu wa Hali ya juu
0 Reactions
18 Replies
4K Views
mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI *ndugu zangu...
2 Reactions
0 Replies
729 Views
Unaenda Google alafu unatafuta Chakula kizuri,kweli kinakuja shida inakuja huwezi kukila
2 Reactions
0 Replies
847 Views
VALENTINE is around the corner! Give different presents to your loved ones, such as mobile phones,cars & property( land, houses, money and others) Nafasi ni hii acha kuzubaa changamkia fursa...
3 Reactions
212 Replies
8K Views
Ningependa kuchukua nafasi hii na kusheherekea pamoja nanyi siku ya kuzaliwa kwangu,,,pia sio mbaya kama kuna mtu nimezaliwa nae siku moja...8th,feb. Happy birthday mimi na kwa wale niliozaliwa...
1 Reactions
5 Replies
707 Views
3
Ll
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom