JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndiyo, Leo tar 22/01/2017 natimiza miaka kadhaa ya uwepo wangu huku Duniani.Nawashukuru wazazi wangu kwa usimamizi wa mwenyezi Mungu aliwaongoza kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo.Asante sana...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Hbr wana jamvi... Napenda kumshukuru mnyazi Mungu mwingi wa rehema anazotujalia kila siku. Kwa historia kidogo Milambo high school ni shule moja maarufu hapa nchini inayopatikana munispaa ya...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman huyu rais sasa kazidi, ni rais mgabe wa zimbabwe hasa baada ya kutoa ushauri mzito kwa simba kama mwendelezo wa misemo na matamko yake
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kumtambulisha mke:- USA - this is my lovely wife. UK - this is my lovely queen. TANZANIA- huyu ndiye mama watoto. Mke kumuaga mume wake wakati anaenda kazini:- USA -have fun at work honey UK -...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Maana yake nini wadau
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Huku Whatsapp kuna vituko watu na status zao: 1. Mtu ameandika Sleeping, sasa leo siku ya tano, si kishakufa huyu 2. Mwingine kaandika Driving toka mwaka jana Agosti, naona atakuwa anakaribia...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Askari wameitwa kwenye nyumba ambayo kuna ugomvi, walipofika ikabidi waripoti kwa simu yale waloyakuta. Askari; Mkuu tumekuja hapa tumekuta mama wa nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa na...
2 Reactions
0 Replies
933 Views
MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!? MLEVI; "Ndio. MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!? MLEVI; "Nakunywa bia tano! MCHUNGAJI; "Bia moja bei gani!? MLEVU; "2500/ MCHUNGAJI; "Ulianza lini kunywa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
"Haya sasa mnaonijibugu ovyo kwenye nyuzi zangu, kajipangeni tena maana kijana sio tu member bali mod! Sasa lete uzi bila source...BAN la nguvu linakusubiri!" Ndio ndoto niliyoota jana ati...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
*Mke na mume walikuwa wamelala ghafla mume akaanza kupiga kelele akiwa usingizini asubuhi ilipofika mke akamuuliza mume Wangu mbona ulikuwa unapiga kelele usiku au ulikuwa unaota unakimbizwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME: ```1. Kwenye mshituko;``` Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Rafiki yangu amekaa sana Uganda..na sio mpenzi sana wa kusikiliza Muziki ..sasa karudi bongo..kakuta watu wanacheza Muziki ..kwenye bar ..baada ya kuusikiliza vizuri akamwambia counter auweke...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijua kuwa ni wanaume wa Dar tu ndio wenye vituko mno. Kumbe wanaume wa mikoani nanyi mnavituko kiasi hiki...?
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu tukumbushane kidogo matokeo yako ya kidato cha nne na darasa LA saba yalipotoka ulikuwa wapi na unalikuwa unafanya nini ? Mimi ilikuwa hivi -matokeo ya la saba yalipotoka nilikuwa na...
1 Reactions
1 Replies
820 Views
Mimi napenda sana siasa ingawa siasa hazinipendi. Jana wakati Trump anaapishwa Mimi na mke wangu tumebarikiwa mtoto wa kiume. Je nimuite trump?
2 Reactions
46 Replies
3K Views
2 Reactions
4 Replies
607 Views
Kumtambulisha mke:- USA - this is my lovely wife. UK - this is my lovely queen. TANZANIA- huyu ndiye mama watoto. Mke kumuaga mume wake wakati anaenda kazini:- USA -have fun at work honey UK -...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instargram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom