JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema. Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile...
13 Reactions
81 Replies
6K Views
Kama taito ilovojieleza wapendwa karibu. Vipi kikiiva mtakula??
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Sijui ndio anadhani nitampa kodi yake wakati bado miezi miwili? Maana kodi iliyopita hata kabla siku hazijafika tayari keshanidaka nimuwahishie... Na vile kipindi hiki cha hapa kazi pesa ilivyoota...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimetembelewa na mzungu ofisini,nilikuwa na jamaa zangu ghafla nikaona pumzi inaniishia ,na maneno yangu niliyojifunza form six pale tambaza yanakuwa machache sana,jasho lilikuwa likinitoka na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
*Dah jmn kumbe kwenda kanisani raha sana* *Jana nimeenda church pasta akasema mgeukie jirani yako mwambie deni langu limelipwa na Yesu* *ile nageuka tu nakutana na baba mwenye nyumba bas...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
*Kusaidia Mtoto wa Nursery Homework ni Ngumu. Unamuuliza "Nina Pipi Tano, nikiwagawia Watoto Watatu, kila mmoja Pipi Mojamoja nabakiwa na ngapi? Anakwambia, "toa Kwanza nizione.."*...
5 Reactions
1 Replies
706 Views
Sasa wewe unakamua lita 2 unauza 5 Mungu hapendi.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi status za watsapp huwa zina maana gani haswa kwa mfano mtu unaandika status iko hivi "Mtasema sana na usiku mtalala" "Kaa chonjo saa mbaya" "Mama kijacho punguza kiherehere" Hivi hapo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Taadhari kabla hujapata hasara ukiwa kama kijana kabla hujaoa msichana msomi aliyesoma kwa fedha za mkopo wasiliana na bodi ya mikopo ili kujua msichana unaemuoa ana deni kiasi gani asije kukutia...
1 Reactions
0 Replies
903 Views
Wakuu, Kuna girl huwa namtongoza kwa njia ya simu lakini amekua haingii kingi. Sasa leo amekubali nimtoe out but yupo off Alhamisi, kwangu mimi naona yupo classic sana. Ombi langu nataka...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Chama Cha Magirlfriend Tanzania (CHAMATA), kimetoa tamko lifuatalo, sisi magirlfriend Tanzania, valentine hii hatutaki maua, wala Iphone, wala lunch. Tunasisitiza maboyfriend wetu siku ya tarehe...
12 Reactions
45 Replies
3K Views
Shalom ndg zangu, Naitwa ween naishi dar es salaam, nimehtimu mafunzo ya uandishi wa habari (journalisn) ngazi ya diploma. Nina tafta kazi , mwenye nafasi aniatie kwani nauhitaji wa pesa...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Eti unaenda na demu gheto alafu unamwekea muvi za ngumi iiiviii braaazaaa Uko siriazi na kazi yako kwelii????? Movie zenyewe za wrong turn Si Bora mngezima Tv
1 Reactions
4 Replies
689 Views
Unakuta mtoto wa kike umeumbika kila kona then mtu kaangalia dip pic moja kwa moja kazimika Direct atakuja Pm kama kawaida yenu wanaume wa jf kwa Udungadunga kama mmesomea vile Lakini yote tisa...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu, Baada ya kugundua kuwa mambo mengi yameshafanyiwa utafiti niliamua kufanya utafiti kuhusiana na vibanio vya nguo. Ni hivi ukinunua vibanio 100 leo na kuanza kuvitumia baada ya miezi 6...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Me nalipa buku 2 na 500 wallah na safari nimehairisha
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Ivi mastaa wanaotongozana kupitia media mbn awatuletea feed back zao mrejesho imekuwaje wamekubaliana au ndo wametoleana njee mfano sterio alivyo mtongoza chemical atujapata mrejesho...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Wanawake buana hatare saana Et kutoroka kwao usiku nakwenda kwa msela hawaogopi ila kutoka nje usiku kukojoa wanaogopa wanakojoa kwenye kopo Akil zao wanazijua wenyewe:D Kweli nature ni nature tu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Can't stop laughing..I was buying mangoes at the junction while waiting for change I saw a woman with a little child. The child was walking a bit faster than the woman and the woman shouted...
2 Reactions
0 Replies
835 Views
Haya mambo ya Social Network, Kila kitu unapost tu. Kuna jamaa kaandika Kwenye FB: "Ahsantee Yesu nimepata mshahara wangu...."[emoji120] Dakika 3 so nyingi, Mwenye Nyumba amesha Like
3 Reactions
0 Replies
823 Views
Back
Top Bottom