JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"mi si nikalibonyeza? Yaani had sasa bado najiuliza...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya...
12 Reactions
11 Replies
3K Views
Aina za ndoa... 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Lengo Ni kupeana mbinu mbadala za kushnda matamanio japo vishawishi Ni vingi.Inawezekana bila ngono,inawezekana bila michepuko,Inawezekana bila Musterbation. #UsipateUkimwi2017 #UsipigeNyeto2017...
8 Reactions
185 Replies
12K Views
Huwa nacheka sana nikisikiliza story za vijana wa kibongo eti wao ni mafighter au wamehustle sana! Labda kwa kufanywa punda hapo sawa ama kuwa wabeba box[emoji23] Sijawahi kusikia wabongo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kum-wish rafki yako cku ya birthday yake sio tatizo, tatizo ni pale unapomwambia "uishi miaka buku" au "uishi miaka miaka mingi kama no za vocha" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] as if we...
4 Reactions
2 Replies
966 Views
NAWAOMBA MSAADA KWA WALE WATAALAMU WA MAPISHI:- JAMAN NAPIKA PILAU NIKISHA WEKA MAHINDI KITU GAN KINGINE KINAFUATA?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
[emoji23][emoji23][emoji23]
8 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijibu hivi kwa nini serikali haitaki watu mwaka huu waadhimishe siku ya wapendanao?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
wakuu, kipindi hiki cha redio free africa, kilikuwa bomba sana wakati akiwepo Freduwaa. huyu aliyepo story nzuri sana lkn oresentation yake very poor! kila mtu na fani yake
0 Reactions
2 Replies
965 Views
Naomba kuuliza Hivi kwa mfano mtu anazungumzia maswala ya demu wake wewe utachangia nini sasa? mazungumzo hayakataliwi lakini zungumzeni kitu ambacho kila mmoja atashiriki..!! mawazo yangu tu...
3 Reactions
0 Replies
654 Views
Pamoja na kuwa Mh.Magufuli rais wa Tanzania anajitahidi lakini pengine kwa mtazamo wako kuna kazi nyingine angeifanya vizuri zaidi ya hii ya urais Baadhi ya wadau na wachambuzi wamekuwa na...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wana bodi, Naomba tujumuike hapa River side ubungo, kumpongeza afande Mentor ze polisi katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Mentor a great man in JF, happy birthday brother. Picha...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Dua zenu jamani, nipo gesti na mume wa mtu [emoji18] [emoji18]
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Vipi ulishawahi ona hili? Mi nimeona Mara nyingi sana.
0 Reactions
3 Replies
755 Views
Wanaume wa Tanzania tuko lege lege mno, hata "kukata mti na kuuangusha" ni shida. Kila mmoja akiona "mbwa pori" anakimbilia ndani hata barabara anaiogopa. Wanaume wa shoka wapo Tunisia, Libya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom