JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, Mwenye mawasiliano yake aweke hapa! Sipundui pale,akiniomba chochote hata nusu ya "ufalme" wangu nitampa! Mbaya zaidi kuna dogo jirani yangu anafanana nae mpaka basi,nimembatiza jina la...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
...Natamani kingerudi kile kipindi nilichokua na baba na mama wakiniambia fanya hichi, na mimi nafanya kile kwakuona kuwa mimi ni bora kuliko wao, kwakweli ningewasikiliza kila lililo jema kwao na...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwaheri mwezi wa kwanza utafikiri ni miezi mitatu tangu january imeanza
0 Reactions
6 Replies
736 Views
Kumekuwa na tabia za watu kufanana na majina yao, hawa wa mwakaa huuu!!! Sijui watakuwa na sifa na tabia gani
0 Reactions
6 Replies
691 Views
niaje wadau. leo kila mtu atunge sentensi inayoanza na neno sometimes.. mimi naanza na hii sometimes sijiskii kusoma thread ndefu. twendee....
0 Reactions
113 Replies
9K Views
UNAPO-CHART NA GIRLFRIEND WAKO KWA STAILI HII: WEWE: Oya! YEYE: Nambie! WEWE: mzima! YEYE: Mi mzima ww je? WEWE: Niko poa YEYE: Ok KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHART NA MSICHANA HUYO HUYO...
11 Reactions
48 Replies
17K Views
CHEKA UNENEPE: watoto wengine hasara tupu. Mjukuu alimkuta bibi yake anaanika chupi. MJUKUU: Bibi, nini hicho unachoanika? BIBI: Kitambaa changu cha kufutia mikono. Mjukuu akaenda zake kucheza...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wadau Binafsi kikao cha kuitisha ndugu au wazazi wa pande mbili labda umemfumania mkeo ni kikao nisichokipenda maisha yangu yote kwa sababu huwa kuna lawama za kiwango cha juu kama sio kwa...
0 Reactions
11 Replies
995 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu nina mpango wa kutembea mambele kuchek life la uhakika hili life la bongo sasa limekuwa michosho unaumiza kichwa kishenz kupata hela na hela hupati...
2 Reactions
65 Replies
4K Views
Huyu mwanadada hili tukio lazima aliweke kwenye diary tena kwa herufi kubwa maana sio kwa kelele hizo aisee.
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Habari zenu wadau, leo asubuhi nimepata ujumbe kutoka kwa mdau Dena Amsi akinipa taarifa kuwa ameamua kuachana na Mr Rocky kutokana na tabia za Mr Rocky za kubeba beba wanawake kumchosha...
9 Reactions
258 Replies
14K Views
*Wiki mpya imeanza, tena jan ila bado ni January* Hii sasa sifa[emoji31] Kwani huu mwezi una mieZi mingapi?? [emoji19][emoji19]
2 Reactions
2 Replies
792 Views
*Leo kidogo nipigwe na MWANAMKE baada ya LIFTI kusimama...wakati tupo kwenye lift Nilikua nayaangalia MAZIWA yake akasema "Bonyeza Moja"*[emoji196][emoji196] mi si nikalibonyeza? Yaani hadi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Agnes Masogange Tanzania VS Corazon Kwamboka Kenya.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hey wana jukwaa usiku mwemaa aseeee ila laleni unono.......
0 Reactions
7 Replies
673 Views
Habari wanajamvi Jamani naombeni ushauri ,nilipokuwa ugenini kila muda wa kula ukifika anaotokea paka wa mwenyeji wangu ananisumbua sana kwenye chakula.je naombeni ushauri huyu paka nimmegee...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nakumbuka miaka hiyo, Kijana machachari,tena mwendo mdundo, utaniambia nini kuhusu Zeezle,Seanjon,Phat Fam, Fubu, Lagz, Adidas, Timberland, Hb nk.. Leo nmekutana na uyu dada,nimejikuta nacheka...
3 Reactions
75 Replies
6K Views
Wakati Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akihutubia wakazi wa Mkoa Kagera, alionyesha kuhusisha janga la ukimwi na tabia ya uasherati na kuonyesha kama lilikuwa janga la...
4 Reactions
12 Replies
22K Views
Hali imezidi kuwa nzuri kwa watanzania.na lile gap kati ya masikini na tajiri linazidi.kufutika.. Huku kwetu bei ya unga kilo moja ni 1900.hii bei haina tofauti na bei ya mchele wanaokula matajiri.
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Back
Top Bottom