JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo asubuhi nlkuwa naenda mjini uku nikiwa na mzigo yangu mkononi na mkono mwingine ukiwa umeshika bomba la gari uku nmegeuka mgongo nkiugeuzia dirishani mwa gari. Kumbe kwa mbele kulkua na dada...
12 Reactions
80 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu mbalimbali... E bwana nipo hapa Riverside ubungo darajani kituo cha daladala...zimepita kama dakika 10 hivi kuna gari aina ya Rav4 imepita hapa kituoni na ikapunguza mwendo kiasi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Popote ulipo pokea salam zangu za funga mwaka dada zangu Arabela charming lady FaizaFoxy Eveline Thomas Evelyn Salt Baba V Na wanao woote daah mkuu Watu8 Kitambo Sana kaka nakuombea mwaka...
2 Reactions
1 Replies
621 Views
Mapenzi ni.......................
0 Reactions
26 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ktk kupitia pitia threads... hiyo picha ya juu ni ka vimeungana na hiyo ya chini... ni vile tu kuna thread kati hapo... sijui nawaza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
*Kuwa na demu aliyeacha shule ni kujitafutia BALAA..anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Dah! Kuna dada ni jirani yetu home nilikozaliwa. Wazazi wake walifariki so alilelewa na bibi. Huyu dada nilisoma naye O level, alikuwaga wa kwanza class siku zote. Baadaye ikawa ikitokea...
3 Reactions
121 Replies
12K Views
Wambea wenzangu, huu ni wakati wa kupata mwakilishi mbea Bungeni ili kutetea haki zote za wambea nchini, ikiwemo kuikomesha katiba ya Cyber bullying iliyotangazwa ivi karibuni. Nawaomba wambea...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Dua zenu jamani,napita mtaa wa msimbazi nikiwa na Azam cola mkononi.
1 Reactions
0 Replies
386 Views
*Leo I was in a daladala nikahisi kupolute ka hewa. Na since muziki ulikua mnene sana ndani ya daladala nikaamua nisijifinye saaaana.. Basi kwa raha zangu nikaachilia mzigo kwa sauti...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
This is serious wadau...yaani Leo nimeamka asubuhi najiangalia mwili wangu nagundua tumbo halipo yaani nimebakiwa na kiuno,miguu,na sehemu za juu za mwili!!(amazing!!) Hii itakuwa ni ugojwa au ni...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Haya ni mashindano ya kuendesha baiskeli huku kichwani umebeba chungu. Ukimaliza bila kuangusha chungu basi wewe ni mshindi. Hii inawezekana tu kwa wanawake wa mikoani. Nadhani wale wanaoshinda...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndoto hii ilikiwa the best kati ya ndoto zoote nilizowahi kuota,alikuwa na true love,siyo kwa kunipet pet kule,nikajihisi niko akhera,mara nastuka najikuta bado napaswa kudeal na wa bongoo wazee...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Duniani kuna watu watatu tu wakweli na wasiodanganya: 1.Mlevi aliyelewa pombe 2.Mtoto mdogo 3.Mwanamke anayekaribia kileleni #Samahanilakini ,Mambo ya binadamu hayo!
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Juzi ijumaa nilikwenda kumtembelea dada yangu(mtoto wa baba mkuu) nilipofika nikawasalimu na kukaa sebuleni. Tukaanza kuongea mambo tofauti mara mtoto wa dada yangu akasema anataka kuongea na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzee Tangu umeondoka tu huku wameangusha treni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ila ulipoondoka tu na mvua zikanyesha ila Mungu hapendi mambo yako jamani khaa[emoji13] [emoji13] [emoji13]...
3 Reactions
0 Replies
959 Views
Wakuu kabisa, Heshima mbele. Napenda kutoa hoja. Kwamba, kwa ongezeko la members wa JF jijini Mwanza (Rock City), ningependekeza uwepo mjumuiko wa kuipaisha na kuunda umoja wa JF hapa jijini...
6 Reactions
133 Replies
8K Views
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA) ...Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "NTAKUOA MWAKANI" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom