Pls cm yangu hiyo tajwa hapo juu imepatwa na tatizo upande wa camera na touch hazifanyi kazi kabisa ukiweka on camera inaleata maneno kama"can't connect to the camera,ilianaza kugoma kupiga picha...
Nilikutana naye kwenye daladala nikavutiwa nae tukabadilishana namba za simu, kutokana na ubize wa kazi nikajikuta wiki imepita bila kumpigia wala yeye hakunipigia. Asubuhi moja naamka nakutana na...
Habar wakuu,
Leo ningependa kushare nanyi njia rahisi ya kupiga pesa katka mitandao ya simu bila kukamatwa..
Hatua
1. Hakikisha Una line ya simu iliyo sajiliwa Na huduma ya kifedha mf.Mpesa...
Hiki ndicho kiingereza cha polisi wa TZ
Polisi alimkamata mzungu
"Yesterday I saw you at the maize shop(akimanisha jana nilikuona dukani kwa mhindi)
When you saw me you started to six...
Habari wakuu,
Nauliza humu jukwaani kuna watu wanaomba ushauri kwa mambo yao au mambo ya mtu mwingine. Sasa ni nani ambaye akikupa ushauri unaridhika au akitoa ushauri kwa mtu mwingine ushauri...
Baada ya kujadiliana mengi kuhusu Mirungi na wala mirungi....sasa hebu tujulishane statehe zake ma madhara yake kabla hatujamuomba Mh.Msukuma kuwasilisha bungeni tena ili ihalalishwe
WanaJF tuliooa maeneo tajwa (Machame & Mbeya-hususani KYELA) tunakusudia kwenda kuusajili Umoja wetu kama taasisi ya kutetea haki zetu pale inapotokea Kash-kash zozote katika ndoa zetu. Hivyo basi...
Habarini Wadau,
◆ Yawezekana katika maisha yako tangu kuzaliwa, kuanza chekechea, primary, secondary, chuo au katika pilika za maisha ulipotezana na jamaa ama rafiki yako wa karibu.
◆ Tutumie...
Ktk vyombo mbali mbalimbali vya habari walisikika madalali wakisema eti january ya mwaka huu imekuwa ngumu sana ktk kazi zao tofauti na miaka ya nyuma hii inatokana na ukweli kwamba eti nyumba...
Mimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini,
Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu
basi ajitokeze tu.
Alafu wengine pigeni kimya kama...
*jamani katika pita pita nimegundua watu hawavai kabisa ngu0 za ndani hata wewe mwana jamiiforums eti huvai ngu0 ya ndani dah inasikitisha kila ngu0 ni china,thailand wakati nguo za ndani kama...
Inasemekana kama mtu kaanzisha mada na ikapata replies nyingi basi huyo mtu hafai kuitwa great thinker kwa kuwa hana uwezo wa kuandaa mada ambayo itasababisha watu waumize kichwa kwenye kuchangia...
Habari wakuu,
Mimi ni mgeni humu naomba knena. . Sorry nimesahau U hapo kwenye knena. . . Ilitakiwa kuwa kunena, yaani kuongea....
Naomba nitumie fursa hii adhwiim na jukwaa lenu kumtongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.