Ndiyo, Leo tar 22/01/2017 natimiza miaka kadhaa ya uwepo wangu huku Duniani.Nawashukuru wazazi wangu kwa usimamizi wa mwenyezi Mungu aliwaongoza kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo.Asante sana...
Hbr wana jamvi...
Napenda kumshukuru mnyazi Mungu mwingi wa rehema anazotujalia kila siku.
Kwa historia kidogo Milambo high school ni shule moja maarufu hapa nchini inayopatikana munispaa ya...
Kumtambulisha mke:-
USA - this is my lovely wife.
UK - this is my lovely queen.
TANZANIA- huyu ndiye mama watoto.
Mke kumuaga mume wake wakati anaenda
kazini:-
USA -have fun at work honey
UK -...
Huku Whatsapp kuna vituko watu na status zao:
1. Mtu ameandika Sleeping, sasa leo siku ya tano, si kishakufa huyu
2. Mwingine kaandika Driving toka mwaka
jana Agosti, naona atakuwa anakaribia...
Askari wameitwa kwenye nyumba ambayo kuna ugomvi, walipofika ikabidi waripoti kwa simu yale waloyakuta.
Askari; Mkuu tumekuja hapa tumekuta mama wa nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa na...
"Haya sasa mnaonijibugu ovyo kwenye nyuzi zangu, kajipangeni tena maana kijana sio tu member bali mod! Sasa lete uzi bila source...BAN la nguvu linakusubiri!" Ndio ndoto niliyoota jana ati...
*Mke na mume walikuwa wamelala ghafla mume akaanza kupiga kelele akiwa usingizini asubuhi ilipofika mke akamuuliza mume Wangu mbona ulikuwa unapiga kelele usiku au ulikuwa unaota unakimbizwa...
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME:
```1. Kwenye mshituko;```
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume...
Rafiki yangu amekaa sana Uganda..na sio mpenzi sana wa kusikiliza Muziki ..sasa karudi bongo..kakuta watu wanacheza Muziki ..kwenye bar ..baada ya kuusikiliza vizuri akamwambia counter auweke...
Wakuu tukumbushane kidogo matokeo yako ya kidato cha nne na darasa LA saba yalipotoka ulikuwa wapi na unalikuwa unafanya nini ? Mimi ilikuwa hivi
-matokeo ya la saba yalipotoka nilikuwa na...
Kumtambulisha mke:-
USA - this is my lovely wife.
UK - this is my lovely queen.
TANZANIA- huyu ndiye mama watoto.
Mke kumuaga mume wake wakati anaenda
kazini:-
USA -have fun at work honey
UK -...
Polen na kaz za hapa na pale nyini wanaume wa dar kwanini mnapenda sana mambo ya instargram mnamatatizo gan nyie mimi naomba mkapimwe akili maana siyo bure